hapana,alikua anawambia wagombea aliiwachagua ni wenyeji wa hapo,wazaliwa wa hapo hivo wawachague,wakazomea akatishia kuondoka,akapandwa na hasira akasema wasipomchagulia wagombea wa Ccm wasimuulize kuhusu maendeleo kwa sababu hatofanya mradi wowote wa maendeleo hapo
Hahah Aisee hii ni mpya mzee baba,naona mpk wasukuma wamecharuka kuletewa watu wasiowajua.
Na jamaa hachelewi kuwasusa kweli kwny maendeleo maana kwa visasi yuko njema.
Hata teuzi awamu hii za kikabila,Tanzania tunawacheka Kenya kuwa wanachaguana kikabila Ila na sisi tunaelekea Huko
Visasi,bifu na ligi pale Ni kiwandani, nadhani wakenya wanajuta kubip kiwanda.Hahah Aisee hii ni mpya mzee baba,naona mpk wasukuma wamecharuka kuletewa watu wasiowajua.
Na jamaa hachelewi kuwasusa kweli kwny maendeleo maana kwa visasi yuko njema.
Hahah aisee wasukuma hawanaga noma na mtu,ukiona mpk wanakukatalia kitu hadharani jua hapo wamemaindi kishenzi.[emoji1787]amechukia sana.alafu wagombea aliowachagua hawaendi jimboni na hawakai jimboni yani wananchi wanalalamika
Hahah Kenya kwa sasa nadhani wameshamuelewa vzr khs visasi na wanam-rate kwny 5 stars.Visasi,bifu na ligi pale Ni kiwandani, nadhani wakenya wanajuta kubip kiwanda.
Hahah aisee wasukuma hawanaga noma na mtu,ukiona mpk wanakukatalia kitu hadharani jua hapo wamemaindi kishenzi.
Jamaa leo atakua na mood mbaya sana,watakao kua mbele yake watakua halali yake leo.
Mbona hujamalizia lyrics zoteMgombea John Magufuli akiwa amesimama pale nyashimo jimboni busega asubuhi hii, Kuna kawimbo kalikuwa kanasikika kutoka kwenye gari la matangazo la mgombea, kanyimbo hako ni ka kisukuma kanahamasisha apigiwe kura John Pombe wa nyumbani (wamkaya).
[emoji444][emoji444]Tukang'wine kura, wamkaya..
John Pombe, tuchagulagi x2[emoji445][emoji445]
[emoji444]John Pombe, wamkaya..
Bakema na bagosha, tuchagulagi[emoji444]
Mgombea John Magufuli akiwa amesimama pale nyashimo jimboni busega asubuhi hii, Kuna kawimbo kalikuwa kanasikika kutoka kwenye gari la matangazo la mgombea, kanyimbo hako ni ka kisukuma kanahamasisha apigiwe kura John Pombe wa nyumbani (wamkaya).
[emoji444][emoji444]Tukang'wine kura, wamkaya..
John Pombe, tuchagulagi x2[emoji445][emoji445]
[emoji444]John Pombe, wamkaya..
Bakema na bagosha, tuchagulagi[emoji444]
Mjumbe salama
Nahiitafuta sana hiyo nyimbo.
Mwenye nayo aipandishe hapa
Utafute huo wimbo uusikilize wote ndio urudi na hili topic yako!!!
Pengine utaleta maana nzuri!!!
CCM yakukaya!
[emoji444]John Pombe, wamkaya..
Bakema na bagosha, tuchagulagi[emoji444]
Kawimbo katamu Sana kale
Tanzania tunawacheka Kenya kuwa wanachaguana kikabila Ila na sisi tunaelekea Huko
Ukabila at it's best. Tume iko kimyaaaaa......
Jamani, hebu tume itoe tamko mara moja likiwepo la kuifuta ccm Kama chama cha siasa hapa tz
Kimsingi wasukuma tunamchagua magufuli.
.hata hafai kivp tunamchagua na akitoka atuachie luhaga Johnson mpina kama rais wa 6
hapana,alikua anawambia wagombea aliiwachagua ni wenyeji wa hapo,wazaliwa wa hapo hivo wawachague,wakazomea akatishia kuondoka,akapandwa na hasira akasema wasipomchagulia wagombea wa Ccm wasimuulize kuhusu maendeleo kwa sababu hatofanya mradi wowote wa maendeleo hapo
Huyu muhutu ana associate na wasukuma kuwafundisha ukabila.Mgombea John Magufuli akiwa amesimama pale nyashimo jimboni busega asubuhi hii, Kuna kawimbo kalikuwa kanasikika kutoka kwenye gari la matangazo la mgombea, kanyimbo hako ni ka kisukuma kanahamasisha apigiwe kura John Pombe wa nyumbani (wamkaya).
[emoji444][emoji444]Tukang'wine kura, wamkaya..
John Pombe, tuchagulagi x2[emoji445][emoji445]
[emoji444]John Pombe, wamkaya..
Bakema na bagosha, tuchagulagi[emoji444]
Hahah ngoja hii ngoma niifuatilie kwny TV najua pale Kirumba kuna jambo atalisema tu,ukiangalia na majuzi tu hapo Lissu ametoka kumwaga sumu ya kutosha Mwz na akapata mafuriko ya hatariii.leo kachafukwa vibaya sana,anaweza kufukuza kazi watu huko Mwanza maana anaelekea Mwanza[emoji23]
Hahah ngoja hii ngoma niifuatilie kwny TV najua pale Kirumba kuna jambo atalisema tu,ukiangalia na majuzi tu hapo Lissu ametoka kumwaga sumu ya kutosha Mwz na akapata mafuriko ya hatariii.
Ngoma tusubiri tuone mziki mnene.
Hahah ngoja ni-tune mzee baba.kaa karibu na TBC mkuu,jiwe sasa hivi ana hasira sana .siku pekee alikuwa hajamind ni alipokuwa Musoma huko
Aangalie asimfokee tu dereva akamtupa mtaronileo kachafukwa vibaya sana,anaweza kufukuza kazi watu huko Mwanza maana anaelekea Mwanza[emoji23]
Wa Nyumbani Tanzania na si vinginevyo msipotoshe enyi ChaggademaTanzania tunawacheka Kenya kuwa wanachaguana kikabila Ila na sisi tunaelekea Huko