mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
hapana,alikua anawambia wagombea aliiwachagua ni wenyeji wa hapo,wazaliwa wa hapo hivo wawachague,wakazomea akatishia kuondoka,akapandwa na hasira akasema wasipomchagulia wagombea wa Ccm wasimuulize kuhusu maendeleo kwa sababu hatofanya mradi wowote wa maendeleo hapo
Hahah Aisee hii ni mpya mzee baba,naona mpk wasukuma wamecharuka kuletewa watu wasiowajua.
Na jamaa hachelewi kuwasusa kweli kwny maendeleo maana kwa visasi yuko njema.