Chekechea sikumbuki kitu ,primary kisutu haikuwa maalum kiivyo sikwendaSijui nina shida gani. Sijawahi shiriki graduation hata moja toka nianze kusoma na zimenipita sio chini ya 5
Aisee mimi mmeo na mziki vitu hazipandi kabisaha ha ha ha
[emoji102]La saba tuliimba:
"Wavulana wanapenda kumaa-kumaliza shule;
Wasichana wanapenda mboooo-mboga za majani!!!"
Good old days...tukala pilau letu kila mtu akasepa zake.
***ila enzi zangu hakukuwa na graduation ya shule za msingi...damn nimezeeka aisee.