wimbo ulioagiwa wakati unamaliza la 7

wimbo ulioagiwa wakati unamaliza la 7

Sijui nina shida gani. Sijawahi shiriki graduation hata moja toka nianze kusoma na zimenipita sio chini ya 5
Chekechea sikumbuki kitu ,primary kisutu haikuwa maalum kiivyo sikwenda
Tambaza secondarysikujua kinachoendelea kwa ndumu forest hill high kulikuwa na msiba home sista so after paper sikurudi tena.
Chuo wasnt that impressed nadani tuna fanana!
 
Nipoo nilikuepo na nitakuepo ahaa ahaa ,Mr blue ft q chiller
 
La saba tuliimba:

"Wavulana wanapenda kumaa-kumaliza shule;
Wasichana wanapenda mboooo-mboga za majani!!!"



Good old days...tukala pilau letu kila mtu akasepa zake.

***ila enzi zangu hakukuwa na graduation ya shule za msingi...damn nimezeeka aisee.
[emoji102]
 
Back
Top Bottom