Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

Kijana wa kiume ,una mambo ya kike
 
sina team lakini mediocre ni aibu ya TAIFA, narudia tena ni;
aibu
aibuu
aibuuu
aibuuuu
aibuuuuu
aibuuuuuu
aibuuuuuuu
aibuuuuuuuu
aibuuuuuuuuu
aibuuuuuuuuuu
aibuuuuuuuuuuu
ya taifa
Sio siri Ali aache tu kuimba
Wimbo hauvutii hauna beat hauchezeki full majungu mwanzo mwisho hivi unaulinganishaje na Cheche ya Dai na Zuchu.,?.
 
Sio siri Ali aache tu kuimba
Wimbo hauvutii hauna beat hauchezeki full majungu mwanzo mwisho hivi unaulinganishaje na Cheche ya Dai na Zuchu.,?.
huyu bwana kapuyanga sana, nadhani anatafuta kiki kwa nguvu
 
Mediocre in Swahili - Ujinga! na kweli safari hii King umeimba ujinga[emoji16] 18 years kwenye game then unakuja an hii[emoji2960]
 
We fala una matatizo ya akili

Nimeuangalia huo wimbo Kiba kaimba vizuri tu sio kama utopolo wake wa So hot sijui na matakataka yake mengine.

Uache kuwa Mediocre sasa, sawa bwana mdogo Innocent Independent ?
Sasa nani innocent jamaaa chizi kweli, Mimi au huyo kibamia ndo aache kuwa mediocre Kama linyimbo lake libaya ebooooh.

#NO KIKI NO BUSTA.
 
Sio siri Ali aache tu kuimba
Wimbo hauvutii hauna beat hauchezeki full majungu mwanzo mwisho hivi unaulinganishaje na Cheche ya Dai na Zuchu.,?.
Ndomana nilisha semaga tangu mwanzo Zuchu atamkimbiza sana alikibamia ndo mmeanza kuamini sio, zuchu dawa yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24][emoji24][emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…