Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

Ashafika Marekani na Ulaya. Haya ni type ya majigambo ya Le Mutuz. Nae sijui yuko wapi siku hizi.
 
Kitu kibaya shabiki wa wcb anaogopa kusikiliza mziki kwa sababu ya chuki anaogopa ataongeza viewers kisa wivuuu .....yani ngoma mbaya na inaenda kuwa trending sahiviii
Kwani ikiwa ni tatizo, lazima tuseme ukweli ngoma mbaya sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
mond kwa sasa kapoa,lazima aitumie hiyo kama ngazi.

nyinyi mashabiki hamuelewi kitu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji24][emoji24][emoji24]kweli wewe NI mbugira yaani Tena kiwango Cha PHD, HD na SGR.

yaani Diamond platinumz The G. O. A. T unasema kappa, Diamond platinumz amalesha sema.

#NO KIKI NO BUSTA
 
Sijasema goat=mbuzi , nimesema G. O. A. T(Greatest Of All The Time=Mkubwa wa mda wote) ko kalale Kama haujanielewa.

#NO KIKI NO BUSTA
 
Tatizo sio kuimba tatizo kaishiwa yaani kakosa vya kuimba, si wanasemaga anaelimisha jamii ko kakosa kuzungumzia hata Mambo ya uchaguzi duuuuuuh tumuombee but hatutoi Kiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi hapana siko kuzungumzia wimbo maana sijapata muda wa kuusikiliza, japo kuna mtu uwa naamini sikio lake kasema mzuri nikipata muda nitausikiliza.
Ila mkuu kama wewe ni wakiume halafu unatumia "ko" yani unaweka "k" badala ya "s" au "x" badala "s" inakuwa siyo poa.
 
Back
Top Bottom