Kinachokutesa Ni ushabiki wa kipuuz Sana
Na ukiona mtu anatumia nguvu nyingi Sana kutaka kuaminisha watu kuwa kitu fulani Ni kibaya Basi jua huyo mtu Ni mchawi ,amejaa wivu alaf Ni masikin wa mawazo na Mali.
Alaf ajabu unaweza kuta huna hata hati ya nyumba moja hapa mjini au hata kumilik ist Ni shida lakin upo mbele mbele kumkandia mwanaume aliekuzid mafanikio kwa mbali Sana .
Pia huna hoja za maana Zaid umejaa uswahil swahil tu na roho ya kwanini ,maana Kama Ni matusi nadhan hakuna anayemzid diamond na ukitaka kujua Hilo ashafungiwa had na basata kwa kuimba matusi ,pia ashaimba dis truck na kwa watu wenye akil tulijua tu kamlenga Nan ,Sasa mbona hukukomaa Kama ulivyokomaa hapa?
Alaf unasema Ali kazeka ,ww ambaye Ni kijana mbichi una Nini haswa Zaid ya upambe mavi hapa town ,yaan ww Ni chawa .ushaur wangu punguza shobo za kukandia waliokuzid maisha Kama Ni mziki shanikia kiburudani na sio kukomaa na personal issues.
Alaf mediocre hata t.i kaimba na unajua ule wimbo una views wangap alaf ajab ukipigwa club na mbuz Kama ww unakenua Ila kwa vile kaimba kiba Basi kaishiwa ,.
Alaf aliyeishiwa Ni Yule Ana maskendo ya kucopy manyimbo na videos mbali mbali huko alaf akiwaletea mburura Kama ww mnashangilia na kumwona mbunifu ,punguza ushamba kijana mziki Ni biashara na mziki unahitaj attention.
Mwisho kabisa najua utakuja na povu nakukaribisha Sana kijana Ila jua ww Ni mshamba na hujui mziki kabisa Zaid uchawa umekutawala ,kwa tunaoujua mziki hatuwez kuwa na mawazo km hayo yako ya kindezi.
Diamond Ni mwanamzik mzur pia Alikiba Ni mwanamzik mzur kila mtu Ana vionjo vyake na watanzania tunataka Radha tofaut tofaut ya mziki ,ndio maana Kuna taarabu ,clank,hip hop ,raggae ,rnb,kaswida ,nk .naishia hapo