Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
- Thread starter
-
- #301
Sawa mama mama , zabibu kiba tumekusikia dawa naona imekuingia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bwana bwana waweza kukuta ndiye Juma lokole huyu
Lione [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji24][emoji24][emoji24][emoji85][emoji85][emoji85] sasa Mimi na wewe MBUGIRA nani MJINGA hadharani, si liwewe kalale bhanaNi wazo langu mbona unakurupuka kunilazimisha kwenye msimamo wako ,, tumia akili wewe jF kila mtu ana mawazo yake. Usitangaze ujinga wako hadharani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani lazima ajifunze kwa Diamond Platnumz? Nyie mtaua mijadala huru kwenye hili jukwaa kwa kukazania unazi wa kambi zenu. Yaani mtu kila hoja unayotoa unawaza Diamond tu!!Kweli na anasafari ndefu sana ya kujifunza kutoka kwa diamond platinumz
Tuoneshe hizo kila siku anazoimba matusi?Mbona diamond anaimba matusi kila siku?
Sio lazima, lakini hamna jinsi maana ndo ukweli mchungu sawa.Kwani lazima ajifunze kwa Diamond Platnumz? Nyie mtaua mijadala huru kwenye hili jukwaa kwa kukazania unazi wa kambi zenu. Yaani mtu kila hoja unayotoa unawaza Diamond tu!!
Lini...? Wapi...? Ulimsikia...? Au mkumbo...?Mbona diamond anaimba matusi kila siku?
Lulu ya nyumbani kwako labdaLini...? Wapi...? Ulimsikia...? Au mkumbo...?
Unajua why diamond platinumz ni lulu ya TAIFA...?
Kweli maana mwanaume lijari hawezi kuwa hiviBwana bwana waweza kukuta ndiye Juma lokole huyu
haijalishi matusi mangapi na vitisho utavitoa, tabia za kishoga tutaendelea kuzipinga tu!Munaopingana na mtoa mada wote manyumbu.
Sasa umejuaje ni mbaya mkuu, ushaonyesha true colour yako hapaWimbo sijauona Youtube wala sifikirii, nasema sitaongeza view pale abaki na utoto wake. Nitausikia wimbo wake baadae redioni/tv/bodaboda ukipigwa.
#TOKOMEZAKIKI
Itakuwa ameshindia kashataOkey Ali Kiba kaishiwa kabisa hana jipya (ingawa bado sijasikiliza hiyo nyimbo)
Vipi umekula chakula cha mchana kweli?
Onyesha sehemu nilipandika wimbo mbaya.Sasa umejuaje ni mbaya mkuu, ushaonyesha true colour yako hapa