Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

Bwana bwana waweza kukuta ndiye Juma lokole huyu
Sawa mama mama , zabibu kiba tumekusikia dawa naona imekuingia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni wazo langu mbona unakurupuka kunilazimisha kwenye msimamo wako ,, tumia akili wewe jF kila mtu ana mawazo yake. Usitangaze ujinga wako hadharani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lione [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji24][emoji24][emoji24][emoji85][emoji85][emoji85] sasa Mimi na wewe MBUGIRA nani MJINGA hadharani, si liwewe kalale bhana
 
Kweli na anasafari ndefu sana ya kujifunza kutoka kwa diamond platinumz
Kwani lazima ajifunze kwa Diamond Platnumz? Nyie mtaua mijadala huru kwenye hili jukwaa kwa kukazania unazi wa kambi zenu. Yaani mtu kila hoja unayotoa unawaza Diamond tu!!
 
Kwani lazima ajifunze kwa Diamond Platnumz? Nyie mtaua mijadala huru kwenye hili jukwaa kwa kukazania unazi wa kambi zenu. Yaani mtu kila hoja unayotoa unawaza Diamond tu!!
Sio lazima, lakini hamna jinsi maana ndo ukweli mchungu sawa.
 
NI AJAAAABU KWEL KWELI!!!.........

inasemwa kuwa eti nyimbo mbovu, msanii mbovu lakini cha ajabu leo ni siku ya tatu au nne MMAMA umekomaa katika keyboard kuikandia nyimbo hiyo tu........wenye akili huru wameshang'amua kitu hapa; kuna mateso mahali bila shaka.
 
Wiki hii kuna nyimbo ngapi za wasanii ziketoka umeona tu ya Alikiba ingekua mbaya wala hata isingekunyima usingizi.
 
Back
Top Bottom