Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

Sawa tumekuelewa na imeonekana jinsi gani anaroho mbaya , so kwa maana hiyo ataendelea kubaki underground miaka yake yote kwa tungo nyepesi Kama hizo.

Yaani kwenye ushindani Kama huu, unatutolea utopolo wa kiwango Cha PHD, HD na SGR...? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85][emoji85][emoji24][emoji24][emoji24].

#NO KIKI
 
alichofanya kiba ni kuweka aibu pembeni na kuamua kutafuta kiki kwa bwana almasi maana kashapima upepo kaona nafasi yake inachukulia na mmakonde
Fact na Diamond platinumz The G. O. A. T alishasema.

#NO KIKI.

kila ntu Ave na Vakwao
 
Kwa post hii inaonesha wew bado U18,ngoja mim nisikilize wimbo wa kitambo wa Queen Darlin ft The King Kiba wew nikuache uendelee kupoteza muda.
 
Huyu kiba wanao mpoteza ni mashabik zake..wanamuita king,anarelax akijihis ni king kwel kumbe king jina tu...Aangalie mwenzie saiz yupo wapi...hawez fanya mambo Simba amefanya...
Mchaneni ukweli ndio atabadlika...

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Sawa tumekuelewa na imeonekana jinsi gani anaroho mbaya , so kwa maana hiyo ataendelea kubaki underground miaka yake yote kwa tungo nyepesi Kama hizo.
Tungo nyepesi kama hizo? Ngapi? Katoa nyingi leo kwani?

Yaani kwenye ushindani Kama huu, unatutolea utopolo wa kiwango Cha PHD, HD na SGR...? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85][emoji85][emoji24][emoji24][emoji24].

#NO KIKI
Siyo wakushindana huu,wala hajawatolea nyie, wala sio wa kiki, wala sio wa kuvunja records za views,kumbuka ni ujumbe maalum kwa mtu mediocre.
 
Moja kati ya tungo bora za Kiba
"Kama mapenzi ghorofa yamejaa kariakoo"

Vs The Goat(Diamond)
"Nimeokota dodo na mjani wake litayemkera ni Shauri zake"
 
Kwa post hii inaonesha wew bado U18,ngoja mim nisikilize wimbo wa kitambo wa Queen Darlin ft The King Kiba wew nikuache uendelee kupoteza muda.
Kalale dogo wewe bado U16, Ngoja nikasikilize nyimbo ya diamond platinumz akiwa na zabibu kiba chumbani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii ligi dogo hauiwezi sawa.
 
Fact amesha flop yule, astaafu tu mziki.
 
Tungo nyepesi kama hizo? Ngapi? Katoa nyingi leo kwani?

Siyo wakushindana huu,wala hajawatolea nyie, wala sio wa kiki, wala sio wa kubunja records za views,kumbuka ni ujumbe maalum kwa mtu mediocre.
Hatuongelei ujumbe, ila wanasemaga anaimba za kueleimisha ndo tunacho taka angeimba sawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

,#NO KIKI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…