Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

Daaaah siwezi kukujibu swali lepesi , uliza swali ngumu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kiba kazingua, ingekua achague ipi itoke kati ya macmuga na hii mpya basi bora ingekua Macmuga
 
NASEMA TENA, IWE MWANZO NA MWISHO KUMUHUSISHA THE TANZNAIAN ICON DIAMOND PLATINUMZ THE G. O. A. T NA HUO UTOPOLO WENU AU MSANII YEYOTE TANZNAIA HII SAWA.

LIMEONA KIMEISHIWA LINAWAZA BUSTA TUU.

#NO KIKI
 
Kitu kibaya shabiki wa wcb anaogopa kusikiliza mziki kwa sababu ya chuki anaogopa ataongeza viewers kisa wivuuu .....yani ngoma mbaya na inaenda kuwa trending sahiviii
 
Japo kaimba vijembe...ila ngoma kali kabadilika sana humu Ali ila sijaelewa nini kilimsukuma kuimba yale au majamaa wamemchokoza tena?

#Ntabiri ngoma itashika namba moko on trending kwa sababu kali
Ataingia trending sio kwa ukal wa ngoma bali kwa mashabik wake tu...lakin hatoweka record yyte...Ngoma ya maua sama kali kuliko hii ya kibakuli

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 

boss wenu huwa hataki shobo za kusemewa,subiri uone boko atakapoamka nalo.hapendagi kuchafuliwa[emoji23][emoji23]
 

mond kwa sasa kapoa,lazima aitumie hiyo kama ngazi.

nyinyi mashabiki hamuelewi kitu.
 
Nmeshangaa et ally kiba kazidiwa followers na konde boy!!??
 
Unauhakika gani kama kamuimbia mondi

Sent from my ɪᴩʜᴏɴᴇ 11ᴩʀᴏ using JamiiForums.com mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…