Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

Daaaah siwezi kukujibu swali lepesi , uliza swali ngumu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kiba kazingua, ingekua achague ipi itoke kati ya macmuga na hii mpya basi bora ingekua Macmuga
 
Baada ya Alikiba kuachia ngoma bora ya mwaka huu na mwaka kesho. Ngoma ambayo imekua gumzo Mpaka Sasa kwa kuweza kutikisa Mitandao ya kijamii na vituo vya Redio

Wimbo huo Mashabiki wengi wa Muziki hasa wanao Mshabikia Diamond wameonesha Hasira zao Kwan wanasema wimbo huo alikiba kamuimba Diamond na kumuita muuza siso na kwamba alikiba hachezi na Dada zake Bali ANACHEZA na Dada zao

Mpaka Sasa Diamond hajaongea kitu

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
NASEMA TENA, IWE MWANZO NA MWISHO KUMUHUSISHA THE TANZNAIAN ICON DIAMOND PLATINUMZ THE G. O. A. T NA HUO UTOPOLO WENU AU MSANII YEYOTE TANZNAIA HII SAWA.

LIMEONA KIMEISHIWA LINAWAZA BUSTA TUU.

#NO KIKI
 
Kitu kibaya shabiki wa wcb anaogopa kusikiliza mziki kwa sababu ya chuki anaogopa ataongeza viewers kisa wivuuu .....yani ngoma mbaya na inaenda kuwa trending sahiviii
 
Japo kaimba vijembe...ila ngoma kali kabadilika sana humu Ali ila sijaelewa nini kilimsukuma kuimba yale au majamaa wamemchokoza tena?

#Ntabiri ngoma itashika namba moko on trending kwa sababu kali
Ataingia trending sio kwa ukal wa ngoma bali kwa mashabik wake tu...lakin hatoweka record yyte...Ngoma ya maua sama kali kuliko hii ya kibakuli

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Diamond alisha wapuuza, endeleeni na utoto kutafuta kujulikana kwa kutumia mgongo wa mtu kumepitwa na wakati. Hata hivyo anamaadui kila kona wote wakijaribu bahati zao za kumshusha na wameshindwa kwa uwezo wa Mungu anaepanga ridhiki. Wafanye kazi waache utoto.

==NIMEMALIZA==

boss wenu huwa hataki shobo za kusemewa,subiri uone boko atakapoamka nalo.hapendagi kuchafuliwa[emoji23][emoji23]
 
Kuimbwa kaimbwa Diamond ila kuumia ataumia Harmonize,manake hawa jamaa kama parasite bila Diamond basi mziki wao hausogei.

Kiba kaamua kuchangamka maana dogo Harmonize nae katoa kushoto kulia,hujanikomoa,hainishtui zote hazijajibiwa ila akafanikiwa kupata kiki,brother Kiba kaona dogo anataka kuchukua nafasi yake ya kulinganishwa na Diamond nae katoa dongo.

Nahisi huyu nae hatojibiwa na Mondi inapita kimya kimya.

mond kwa sasa kapoa,lazima aitumie hiyo kama ngazi.

nyinyi mashabiki hamuelewi kitu.
 
Nmeshangaa et ally kiba kazidiwa followers na konde boy!!??
 
Baada ya Alikiba kuachia ngoma bora ya mwaka huu na mwaka kesho. Ngoma ambayo imekua gumzo Mpaka Sasa kwa kuweza kutikisa Mitandao ya kijamii na vituo vya Redio

Wimbo huo Mashabiki wengi wa Muziki hasa wanao Mshabikia Diamond wameonesha Hasira zao Kwan wanasema wimbo huo alikiba kamuimba Diamond na kumuita muuza siso na kwamba alikiba hachezi na Dada zake Bali ANACHEZA na Dada zao

Mpaka Sasa Diamond hajaongea kitu

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Unauhakika gani kama kamuimbia mondi

Sent from my ɪᴩʜᴏɴᴇ 11ᴩʀᴏ using JamiiForums.com mobile app
 
Back
Top Bottom