Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

Mimi hapana siko kuzungumzia wimbo maana sijapata muda wa kuusikiliza, japo kuna mtu uwa naamini sikio lake kasema mzuri nikipata muda nitausikiliza.
Ila mkuu kama wewe ni wakiume halafu unatumia "ko" yani unaweka "k" badala ya "s" au "x" badala "s" inakuwa siyo poa.
Unajua matumizi ya "ko" na "so" kwanza...? Inaonekana hata shule haujaenda na Kama umeenda haukumuelewa mwalimu wako wa kiswahili.

Hadi sijawahi tumia x kwenye maisha yangu sawa dogo, jioabge urudi Tena narudia kusema pale katoa Boko.
 
Sawa kubwa wengine hatukwenda shule ila "ko" kwa mtoto wa kiume ni hatari sana.
 
Sawa kubwa wengine hatukwenda shule ila "ko" kwa mtoto wa kiume ni hatari sana.
Basi pole Kuna elimu ya watu wazima kajue tofauti zake ndo uje kukoment dogo langu au nipm nikupe lecture kidogo sawa
 
Basi pole Kuna elimu ya watu wazima kajue tofauti zake ndo uje kukoment dogo langu au nipm nikupe lecture kidogo sawa
Naelekea uzeeni hata nikisoma haiwezi kunisaidia. Ila mtoto wa kimue kutumia "ko" Deo Gratius tabia hizo ndizo anasema ni "umama",
Na wimbo wa Alikiba nimeusikiliza, siyo mzuri na siyo mbaya ni wa kawaida sana, naona anajaribu kubadilika toka atoke kwa Man Walter mzee wa masebene.
 
Hiyo diss ya alikiba ni ya zamani alikuwa kaiweka tu alirecord baada ya mondi kumchana kwenye ile fresh remix

Mondi alisema alikiba akacheze na Dada zake kariakoo
Ali nae kajibu kuwa huwa anacheza na Dada yake mondi maana alishamtafuna queen darling enzi.
Alafu akamjibu mondi kuwa kama hiyo ulaya anayosema basi yeye kashaenda zamani mnoo.

Pia kuna sehemu anasema "we unavaa suso me bishop"
Yaani kipindi mondi anauza mitumba yeye alikuwa tiyari anavaa mikato yotee.

Nimeweka mizani sawa
Acha uongo broh[emoji16][emoji16] umesikiza XXL lakin au unatuonaje sisi??
 
Acha uongo broh[emoji16][emoji16] umesikiza XXL lakin au unatuonaje sisi??
Kwa akili zako kiba atasema kwenye redio live kuwa alishamtafuna queen darling?

Na hayo mengine mengi ?
Kuwaga na akili kila kitu kipo wazi.
Kwanza unapata wapi muda wa kusikiliza huo utopolo?
 
Kwa akili zako kiba atasema kwenye redio live kuwa alishamtafuna queen darling?

Na hayo mengine mengi ?
Kuwaga na akili kila kitu kipo wazi.
Kwanza unapata wapi muda wa kusikiliza huo utopolo?
Sijui hujanielewa kwann nasema unatudanganya.
Umesema hii nyimbo alikiba alikuwa nayo kitambo tu lakn sio kweli Kama umesikiza XXL amesema ameitunga muda so mrefu, alaf hata ukisikiza wimbo Kuna mistar inazungumzia matukio ya hivi karibun Kama pruuuuh mpk chini, Mara commando nadhan umenielewa sasa
 
Daaaaaah Habarini Wana jamvi...?

Kweli Kuna ule msemo unaosema kila zama na mda wake, leo ndio nimekubali huu msemo.

Nimejaribu kusikia wimbo wa huyu mzee wetu Alikiba nimeona kaishiwa kabisa na anatafuta back up ya kurudi kupitia Diamond the G.O.A.T.

Unajua, kutokana na hivi Karibuni harmonize kuvuma sana na kuanza kumshindanisha na Diamond the G.O.AT. watanzania walikuwa wamemsahau huyu mzee wetu Alikiba

So kwa huu wimbo Mediocre kweli Kama amemaanisha Basi kweli ni mediocre yenyewe.

Namuomba Diamond the G.O.A.T. akae kimya ili alone aibu mwenyewe maana Diamond alisema hatatoa tena KIKI ko nione tunavyo msahau kwa utopolo huu plus utumbo.

Namalizia kwa kusema ameshazeeka na asitaafu mziki,ameachiwa Diamond the G.O.A.T mwenye Bongo flavor yake.
Sijuhi mmakonde wa watu kamkosea nini alikiba
 
Naelekea uzeeni hata nikisoma haiwezi kunisaidia. Ila mtoto wa kimue kutumia "ko" Deo Gratius tabia hizo ndizo anasema ni "umama",
Na wimbo wa Alikiba nimeusikiliza, siyo mzuri na siyo mbaya ni wa kawaida sana, naona anajaribu kubadilika toka atoke kwa Man Walter mzee wa masebene.
Fact hapo sawa, but all in all Rudi shuleni kutofautisha "ko na so"
 
Kwa akili zako kiba atasema kwenye redio live kuwa alishamtafuna queen darling?

Na hayo mengine mengi ?
Kuwaga na akili kila kitu kipo wazi.
Kwanza unapata wapi muda wa kusikiliza huo utopolo?
Mbona Diamond akimtafuna zabibu kiba na akakaa kimya, so all in all alikiba kaimba utopolo
 
Back
Top Bottom