FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Yaani watu hawajui kesho wanakula nini wasikilize ikibindankoiYaani katika dunia hii ya watu karibu takriban bilioni 8, nyimbo ya kijana wetu, mTanzania mwenzetu, Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba duniani kwa sasa. Wizara ya maliasili na utalii itumie fursa hii adhimu kuiambia dunia kwamba Tanzania ina nini cha kuwapa watalii, maana kila mtu anaiulizia Tanzania sasa hivi, hata search rating za Tanzania zimepanda sana kwa sasa.
Video clips zina maelezo zaidi:
Mzungu akikosea kuandika kiswahili anasifiwa kwamba kajitahidi, ila akikosea mbongo kuandika lugha ya mkoloni haambiwi kajitahidi, utumwa huu..🤪🤣🤣🤣🤣🤣Mwenyewe kaandika kongratureshen..
Wewe ndio umekuja kuweka mambo sawa hapaNumber 1 trending ni ya shakira na black eyed peas, wah ipo 51 worldwide.
Watumwa hawaMnasifia mpaka mnakufuru.
Hizo sio current up to the minute statistics, uliza Siri ambayo inafanya real time statistical data augmentation ikupe majibuNumber 1 trending ni ya shakira na black eyed peas, wah ipo 51 worldwide.
Chuki hizi ndio chanzo cha uchawi, nimeshamjibuWewe ndio umekuja kuweka mambo sawa hapa
Mkuu na wewe umeamini hili? Ngoja nikupe mfano, video ya dynamite ilipata 101 milion views ndani ya saa 24 toka iwe uploaded, How you like that ilipata views 86.4 in milion ndani ya 24 hours ndani ya saaa 24, Icecream views 79 milionYaani katika dunia hii ya watu karibu takriban bilioni 8, nyimbo ya kijana wetu, mTanzania mwenzetu, Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa. Wizara ya maliasili na utalii itumie fursa hii adhimu kuiambia dunia kwamba Tanzania ina nini cha kuwapa watalii, maana kila mtu anaiulizia Tanzania sasa hivi, hata search rating za Tanzania zimepanda sana kwa sasa.
Video clips zina maelezo zaidi:
Mwisha wasiu views za kibongoni utopolo tu.Mkuu na wewe umeamini hili? Ngoja nikupe mfano, video ya dynamite ilipata 101 milion views ndani ya saa 24 toka iwe uploaded, How you like that ilipata views 86.4 in milion ndani ya 24 hours ndani ya saaa 24, Icecream views 79 milion
Na ndani ya saa ishirini na nne hizi, video iliyotazamwa sana inaitwa Titlian imetazamwa mara 8.1 milion ndani ya saa 24 hizi, kifuatiwa na bichota mara 6.4 milion.
Hivyo wah ambayo imechukua wiki kufikisha views milion 10 haiwezi kuwa ya kwanza worldwide, labda kama ni Afrika au East Afrika