Wimbo wa Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa!

Twende tu haraka haraka!! Kwa hiyo diamond platnumz ndiye msanii namba moja duniani!!! Wimbo wake unaoitwa sijui nini nini ndiyo wimbo namba moja duniani!!! Na wasafi classic ndiyo bendi bora duniani, dah,basi mangufuli babalao
Hayo umesema wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata ikiwa hivyo, haiwezi kuwa kweli. Hizi system zinajibu maswali according to locality. Ingelikuwa huo wimbo unaongoza huko kwingine kama tidal, spotify, boomplay, amazon, itunes, basi angekuwa kaingiza mpunga kuliko Drake πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜…
 
Mzungu akikosea kuandika kiswahili anasifiwa kwamba kajitahidi, ila akikosea mbongo kuandika lugha ya mkoloni haambiwi kajitahidi, utumwa huu..πŸ€ͺ🀣🀣🀣🀣🀣
Yani mtanzania hapendi kuambiwa hajui,penda kusema sijui ili uelimike,hii mufano yakujitetea inakupunguzia kujua mengi.
 
Kule you tube pekua pekua utaibukia korea tafuta BLACKPINK ni kikundi cha wadada wimbo sekunde una hizo views milion 11 masaa views zinakimbizana mil 80 na kitu
 
Kule you tube pekua pekua utaibukia korea tafuta BLACKPINK ni kikundi cha wadada wimbo sekunde una hizo views milion 11 masaa views zinakimbizana mil 80 na kitu
Jibu lako lipo post na 36
 
Kati ya billboard na clouds top 20 ipi ni worldwide?
 
Papa Mobimba remix,
Hata hivyo hongera Diamond kwa fursa.
 
Kuhusu SIRI ni strategy tu ya promotion, wimbo haujawa namba moja duniani lakini unafanya vizuri, data za juzi ulikuwa namba 51! Ni pakubwa hapa gemu gumu sana ukiona msanii anatokeza tokeza duniani mpe hongera.
 
Kwa hiyo?
 
Kati ya billboard na clouds top 20 ipi ni worldwide?
Upatikanaji wa matokea ya hizo chart sio worldwide, wewe ulishawahi kuhojiwa kwamba nyinbo gani iwe ya kwanza? Au clouds waliwahi kumuhoji mtu wa matekani nyimbo gani iwe ya kwanza? Ila Siri inafanya complete commulative statistical augmentation ya platforms zote za uwasilishaji wa kazi za sanaa, hivyo iko more precise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…