Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu; watu wa lugha ya kiswahili yanatuambia tunaweza kufundishia toka kidato cha kwanza hadi chuo kikuu...sasa kama hivyo ndivyo basi tuanze tu na kukatafasiri haka ka wimbo pendwa kwa lugha yetu..Ushawahi kutumia Facebook kwa kiswahili, basi jaribu ndiyo uone kama hata logout utaitambua...
Cc: mahondaw
Kusheherekea tarehe ya kuzaliwa yenyewe siyo kati ya tamaduni zetu...Mkuu; watu wa lugha ya kiswahili yanatuambia tunaweza kufundishia toka kidato cha kwanza hadi chuo kikuu...sasa kama hivyo ndivyo basi tuanze tu na kukatafasiri haka ka wimbo pendwa kwa lugha yetu..
Furaha siku ya kuzaliwaaaa...
Furaha siku ya kuzaliwaaa....
Furaha siku ya kuzaliwa kwako...furaha kubwaaaaa
Kate keki ule
Kate keki tule.....
Kata keki tule soteeee..tutafurahi sote
Hapo je wadau???
Ndiyo hasa lengo la hoja...nilikuwa nakwenda huko huko....
Utafsiriwe kwa ajili ya nini? una umuhimu gani hasa kwa utamaduni wetu hadi utafsiriwe! ule wimbo umetungwa kwa jamii ya watu waliouhitaji na kwa lugha yao, kama nasi tunafikiri ni jambo jema sana kuimbiana kwa aili ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa tutunge nyimbo zetu kwa lugha yetu!Wimbo wa kiingeleza wa kutakiana kheri ya siku ya kuzaliwa hivi umeshindikana kuutafasiri?
Mbona tunazidi kuwatukuza hawa mabeberu....siamini kama lugha yetu pendwa bado I maskini wa maneno...
Tutukuze utamaduni wetu watanganyika.!!
Tutafasiri tu ili kujaribu kukienzi kiswahili chetu..kuna uhitaji huo sababu wimbo huu unaimbwa karibia kila siku na mamilioni ya watanzania.Utafsiriwe kwa ajili ya nini? una umuhimu gani hasa kwa utamaduni wetu hadi utafsiriwe! ule wimbo umetungwa kwa jamii ya watu waliouhitaji na kwa lugha yao, kama nasi tunafikiri ni jambo jema sana kuimbiana kwa aili ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa tutunge nyimbo zetu kwa lugha yetu!
Anza basi!Wimbo wa kiingeleza wa kutakiana kheri ya siku ya kuzaliwa hivi umeshindikana kuutafasiri?
Mbona tunazidi kuwatukuza hawa mabeberu....siamini kama lugha yetu pendwa bado I maskini wa maneno...
Tutukuze utamaduni wetu watanganyika.!!
Ungeweka sauti piaMkuu; watu wa lugha ya kiswahili yanatuambia tunaweza kufundishia toka kidato cha kwanza hadi chuo kikuu...sasa kama hivyo ndivyo basi tuanze tu na kukatafasiri haka ka wimbo pendwa kwa lugha yetu..
Furaha siku ya kuzaliwaaaa...
Furaha siku ya kuzaliwaaa....
Furaha siku ya kuzaliwa kwako...ni furaha kubwaaaaa
Kate keki ule
Kate keki tule.....
Kata keki tule soteeee..tutafurahi sote
Hapo je wadau???