Wimbo wa " Happy Birthday utafasiliwe"

Wimbo wa " Happy Birthday utafasiliwe"

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
34,181
Reaction score
41,563
Wimbo wa kiingeleza wa kutakiana kheri ya siku ya kuzaliwa hivi umeshindikana kuutafasiri?

Mbona tunazidi kuwatukuza hawa mabeberu....siamini kama lugha yetu pendwa bado I maskini wa maneno...

Tutukuze utamaduni wetu watanganyika.!!
 
Kiingereza & Kiswahili ni LUGHA rasmi za taifa, according to Katiba ya JMT.
 
Ushawahi kutumia Facebook kwa kiswahili, basi jaribu ndiyo uone kama hata logout utaitambua...

Cc: mahondaw
 
Mkuu; watu wa lugha ya kiswahili yanatuambia tunaweza kufundishia toka kidato cha kwanza hadi chuo kikuu...sasa kama hivyo ndivyo basi tuanze tu na kukatafasiri haka ka wimbo pendwa kwa lugha yetu..

Furaha siku ya kuzaliwaaaa...
Furaha siku ya kuzaliwaaa....
Furaha siku ya kuzaliwa kwako...ni furaha kubwaaaaa

Kate keki ule
Kate keki tule.....
Kata keki tule soteeee..tutafurahi sote

Hapo je wadau???
 
Furaha siku ya kuzaliwa kwako...furaha kubwaaaaa

Kate keki ule
Kate keki tule.....
Kata keki tule soteeee..tutafurahi sote

Hapo je wadau???
Kusheherekea tarehe ya kuzaliwa yenyewe siyo kati ya tamaduni zetu...

Cc: mahondaw
 
Wimbo wa kiingeleza wa kutakiana kheri ya siku ya kuzaliwa hivi umeshindikana kuutafasiri?

Mbona tunazidi kuwatukuza hawa mabeberu....siamini kama lugha yetu pendwa bado I maskini wa maneno...

Tutukuze utamaduni wetu watanganyika.!!
Utafsiriwe kwa ajili ya nini? una umuhimu gani hasa kwa utamaduni wetu hadi utafsiriwe! ule wimbo umetungwa kwa jamii ya watu waliouhitaji na kwa lugha yao, kama nasi tunafikiri ni jambo jema sana kuimbiana kwa aili ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa tutunge nyimbo zetu kwa lugha yetu!
 
Tutafasiri tu ili kujaribu kukienzi kiswahili chetu..kuna uhitaji huo sababu wimbo huu unaimbwa karibia kila siku na mamilioni ya watanzania.

Enzi zetu sisi wakongwe kila jioni tulikaa na babu jioni kwenye moto pale tukipata hadithi ambazo nyingi zilitufundisha Mila na desturi ya makabila yetu..

Sina uhakika baada ya miaka 30 ijayo itakuwaje...mila ya Mwafrica yaweza ikapotea kabisa katika uso wa dunia hii kama kazi haitaanza kufanyika sasa!!
 
Wimbo wa kiingeleza wa kutakiana kheri ya siku ya kuzaliwa hivi umeshindikana kuutafasiri?

Mbona tunazidi kuwatukuza hawa mabeberu....siamini kama lugha yetu pendwa bado I maskini wa maneno...

Tutukuze utamaduni wetu watanganyika.!!
Anza basi!
 
Mkuu; watu wa lugha ya kiswahili yanatuambia tunaweza kufundishia toka kidato cha kwanza hadi chuo kikuu...sasa kama hivyo ndivyo basi tuanze tu na kukatafasiri haka ka wimbo pendwa kwa lugha yetu..

Furaha siku ya kuzaliwaaaa...
Furaha siku ya kuzaliwaaa....
Furaha siku ya kuzaliwa kwako...ni furaha kubwaaaaa

Kate keki ule
Kate keki tule.....
Kata keki tule soteeee..tutafurahi sote

Hapo je wadau???
Ungeweka sauti pia
 
Back
Top Bottom