Wimbo wa Iddi Amin Dada

Wimbo wa Iddi Amin Dada

Umenikumbusha mbali kweli mchaka mchaka o level, upo mwingingi huu hapa, ......Idi aminiii, mabwana zako wamekuponza wamekuchimbia kaburi, kuuvuruga ukombozi wa bara LA Africa , dawa ya amini sasa in kijinga cha moto dawa ya a mini sasa in kiijinga cha motooooo endeleen wengine
 
Upo mwingingi maana yake nini?
 
Mbona tuliimba
Kambona aah aah aah
Kambona ameolewa
Kambona aah aah aah
Huko Ulaya.
 
Watanzania tumevamiwa na joka kubwaa,Iddi Amin,wasulubu wacheni tuliponde sasa,limezoea tumeshachoka,
Amin kavimbavinba kama boga jike,shaba kichwani,
Ondoa majeshi yako sasa unaonaa,umeruka mikojo umekanyaga mavi,
Sasa tuliue joka,joka mtu×2
 
Alisemaaa alisemaa,
Alisema nyerere alisemaa,
Vijana wangu wote mmelegeaa....
Sharti muanze mchakamchaka....
 
Alisemaaa alisemaa,
Alisema nyerere alisemaa,
Vijana wangu wote mmelegeaa....
Sharti muanze mchakamchaka....
Vijana wa kizazi cha dot com,hapa wanaona mawenge tu. Wimbo kama huu wanaufamu wenye umri usiopungua miaka 40. Enzi za vijiji vya ujamaa. Sukari, chumvi, sabuni, nk. vikinunuliwa kwa foleni, kwenye duka moja la kijiji.
 
Lile ,Lile , Lilembe
Lile Lile Lile ,Lilembe
Mbaya sana Amin
Kafikiria sana kashindwa
Kaona -achukue -Kagera
Ambayo ni Aridhi ya Tanzania
ilikua ni raha sana miaka ile hahaaa
 
Nyerere kaenda Uganda
Na sasa amini hayupo
Insha allah mungu yupo
Watanzania tutajitawala
Nyerere
 
Back
Top Bottom