kisikiji
JF-Expert Member
- Feb 2, 2015
- 2,530
- 2,494
Cjaolewa
Jibu halijatosheleza,
umeoa hujaoa.
Jibu ni
Sijaolewa wala kuoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cjaolewa
Kama haujaolewa je ?Mi nasema kama uliimba huo wimbo na hujaoa nenda ukaoge maji ya baharini
Sisi by nature hatutongozwi. Ndomana mimi siwezi mlaum msichana kwanini huolewi kwasababu wanaume ndo wana approach wanawakeKama haujaolewa je ?
Ahsante=AsanteAhsante kwa kumrekebisha ila na wewe angalia vizuri kiswahili chako. Hapo neno "uwingi" ilipaswa iwe "wingi"
Upo mwingingi maana yake nini?Umenikumbusha mbali kweli mchaka mchaka o level, upo mwingingi huu hapa, ......Idi aminiii, mabwana zako wamekuponza wamekuchimbia kaburi, kuuvuruga ukombozi wa bara LA Africa , dawa ya amini sasa in kijinga cha moto dawa ya a mini sasa in kiijinga cha motooooo endeleen wengine
Gadaf alimsaidia sana kuua wanajeshi wetu, halafu unakuta mtu anamsifia gadaf
kweli kabisa. . na wasioolewa piaMi nasema kama uliimba huo wimbo na hujaoa nenda ukaoge maji ya baharini
WAOOOO...ENZI HIZO..RAHA SANAIddi amin akifa,
Mimi siwez kulia,
Nitamtupa kagera,
Awe Chakula,
Cha mamba.
Kama unakumbuka hii nyimbo
Naomba uendeleze
Kwa kibarbaigi???Ahsante=Asante
Banda wa MalawiMbona tuliimba
Kambona aah aah aah
Kambona ameolewa
Kambona aah aah aah
Huko Ulaya.
Umri wako utakuwa zaidi ya miaka 40. Kizazi cha dot com hawaufahamu huu wimboBanda wa Malawi
Katuvalia ngozi ya Simba
Kututishia watanzania
Hatujali, hatujali!!
Ewaaaaaa....Umri wako utakuwa zaidi ya miaka 40. Kizazi cha dot com hawaufahamu huu wimbo
Vijana wa kizazi cha dot com,hapa wanaona mawenge tu. Wimbo kama huu wanaufamu wenye umri usiopungua miaka 40. Enzi za vijiji vya ujamaa. Sukari, chumvi, sabuni, nk. vikinunuliwa kwa foleni, kwenye duka moja la kijiji.Alisemaaa alisemaa,
Alisema nyerere alisemaa,
Vijana wangu wote mmelegeaa....
Sharti muanze mchakamchaka....
Gadaf alimsaidia sana kuua wanajeshi wetu, halafu unakuta mtu anamsifia gadaf