Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimuita beberu,Iddi amin akifa,
Mimi siwez kulia,
Nitamtupa kagera,
Awe Chakula,
Cha mamba.
Kama unakumbuka hii nyimbo
Naomba uendeleze
Dah! Mchaka mchaka primary hiyo kipindihicho [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Iddi amin akifa,
Mimi siwez kulia,
Nitamtupa kagera,
Awe Chakula,
Cha mamba.
Kama unakumbuka hii nyimbo
Naomba uendeleze
UNAANZA HIVI:Iddi amin akifa,
Mimi siwez kulia,
Nitamtupa kagera,
Awe Chakula,
Cha mamba.
Kama unakumbuka hii nyimbo
Naomba uendeleze
Mchakamchaka chinjaIddi amin akifa,
Mimi siwez kulia,
Nitamtupa kagera,
Awe Chakula,
Cha mamba.
Kama unakumbuka hii nyimbo
Naomba uendeleze
Nyimbo =Wimbo:Iddi amin akifa,
Mimi siwez kulia,
Nitamtupa kagera,
Awe Chakula,
Cha mamba.
Kama unakumbuka hii nyimbo
Naomba uendeleze
Ahsante kwa kumrekebisha ila na wewe angalia vizuri kiswahili chako. Hapo neno "uwingi" ilipaswa iwe "wingi"Nyimbo =Wimbo:
Ukiwa mmoja ni WIMBO. Zaidi ya mmoja ni NYIMBO. Tafadhali tusiharibu Kiswahili. Naona huu mtindo umeshaenea sana sasa. Badala ya kusema wimbo huu, wanasema nyimbo hii. Hii si sawa. Wimbo ni umoja na nyimbo ni uwingi.
Mkuu wewe umeoa/olewa?Mi nasema kama uliimba huo wimbo na hujaoa nenda ukaoge maji ya baharini
CjaolewaMkuu wewe umeoa/olewa?