Huo wimbo wa amba ni wa kinyakyusa sio wa kikulya, na ndio nlio usikia juzi kwenye hayo matarumbeta ya obama,. Acha umbea mtoto wa kiume sio mzuri
Nani kasema ni wakikurya? mbona unadandia mbele, itamea. kama ni wakinyakyusa ungeleta hoja kama nimefanya umbea, ulichofanya si umbea? Jipange
Mazombi wa Ru-gay washanza kutoa povu zao sijui wanalipwa sh. ngapi kumchafua JD sasa nendeni mkawachukue MAMA ZENU, DADA ZENU, SHANGAZI zenu na mabibi zenu kawapeni promo tuone kwenye hiyo wafu fm tuone kama watadumu miaka 13, na mwaka huu mtatumiwa sawa kumchafua anaconda, izo ni tabia za kiliberal kuongea bila facts.
Kujiunga Jf mwaka huu sio shida kwani ukubwa wa pua sio wingi wa makas we unaweza ukawa great lakini usiwe THINKER, Unajua maana kucopy na kupest[COLOR="#0000CD"]Ninyi wenye akaunti, za mwaka 2013 mna matatizo sana, ndiyo maana watoto form four mnafeli kweli, maana hata ukiulizwa swali unachora zombie.
mawazo yangu yako kwenye mtililiko linganifu nikionesha kile kilichopo, na nifikiriacho baada yakusikia ule wimbo wewe unaleta story za clouds fm, nani kaizungumzia?
anyway ingawa sipo huko ila kuna watu hapa hata ukiwauliza wewe unaiponda clouds imekukosea nini, jibu huna ni ile watu wakiponda nawe upo nyuma kama mkia, ukipewa akili changanya na za kwako, sio unakwenda kwenda tu. afu ajabu hiyo radio daily mnaisikiliza..heh he unafiki sio mzuri
ngoja nikupe fact ya mwisho, jamii forum kuitwa great thinkers place kwakujiunga tu na kuwa na akaunti haiku-qualify na wewe kuwa great thinker, wengine mmekuwa humu kutuonesha u-poor thinker wenu.[/COLOR]
Wale ndugu zangu kutoka musoma na majirani zao bila shaka na watanzania kwa Ujumla mliopata au kuwai kuusikia, huwezi kuutofautisha wimbo wa Lady jay Dee na ule aliokopi.
Joto hasira ni kopi ya wimbo wa Kijita Uitwao "Amba" maarufu sana katika maarusi na hata wapiga matarumbeta wengi zikiwemo Bendi za Polisi uupiga. Juzi tu katika ujio wa Obama nimeusikia wakati wakiingia ikilu pale.
Alichofanya Jide nikugeuza maneno ila si yote, chorus yote ni kopi.
To be spesific, melody ile ya Jide hakufikirisha kichwa hata kidogo, alihamisha.