Wimbo wa Joto Hasiara, Jay Dee alikopi, akabadili Maneno, Akapesti

Dumelang

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
3,204
Reaction score
5,710
Wale ndugu zangu kutoka musoma na majirani zao bila shaka na watanzania kwa Ujumla mliopata au kuwai kuusikia, huwezi kuutofautisha wimbo wa Lady jay Dee na ule aliokopi.

Joto hasira ni kopi ya wimbo wa Kijita Uitwao "Amba" maarufu sana katika maarusi na hata wapiga matarumbeta wengi zikiwemo Bendi za Polisi uupiga. Juzi tu katika ujio wa Obama nimeusikia wakati wakiingia ikilu pale.

Alichofanya Jide nikugeuza maneno ila si yote, chorus yote ni kopi.

To be spesific, melody ile ya Jide hakufikirisha kichwa hata kidogo, alihamisha.
 
Huo wimbo wa amba ni wa kinyakyusa sio wa kikulya, na ndio nlio usikia juzi kwenye hayo matarumbeta ya obama,. Acha umbea mtoto wa kiume sio mzuri
 
Nani kasema ni wakikurya? mbona unadandia mbele, itamea. kama ni wakinyakyusa ungeleta hoja kama nimefanya umbea, ulichofanya si umbea? Jipange

mkuu kukopi sio tatizo hata kwene marketing strategy wanasema kama umeshindwa kabisa kuja na new idea yani we ni mbumbumbu kabisa unaruhusiwa copy and paste.
 
Mbona unaongea taarabu
Nani kasema ni wakikurya? mbona unadandia mbele, itamea. kama ni wakinyakyusa ungeleta hoja kama nimefanya umbea, ulichofanya si umbea? Jipange
 
Mazombi wa Ru-gay washanza kutoa povu zao sijui wanalipwa sh. ngapi kumchafua JD sasa nendeni mkawachukue MAMA ZENU, DADA ZENU, SHANGAZI zenu na mabibi zenu kawapeni promo tuone kwenye hiyo wafu fm tuone kama watadumu miaka 13, na mwaka huu mtatumiwa sawa kumchafua anaconda, izo ni tabia za kiliberal kuongea bila facts.
 
Vp ndugu hujaridhika na aidia ya Jay Dee? Mm nafairi yupo sawa sana coz sjasikia mtu akilalamika kaibiwa aidia au hiyo nyimbo ww unausika?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kuchuka baadhi ya maneno chorus sio copy n paste, kibwagiza cha amba lele lele amba ni maarufu maana Mashuleni hata ktk Majeshi huwa wanaimba. Kama una mashairi ya hizo beti ambazo amekopi ungetaja.
 
Ninyi wenye akaunti, za mwaka 2013 mna matatizo sana, ndiyo maana watoto form four mnafeli kweli, maana hata ukiulizwa swali unachora zombie.
mawazo yangu yako kwenye mtililiko linganifu nikionesha kile kilichopo, na nifikiriacho baada yakusikia ule wimbo wewe unaleta story za clouds fm, nani kaizungumzia?

anyway ingawa sipo huko ila kuna watu hapa hata ukiwauliza wewe unaiponda clouds imekukosea nini, jibu huna ni ile watu wakiponda nawe upo nyuma kama mkia, ukipewa akili changanya na za kwako, sio unakwenda kwenda tu. afu ajabu hiyo radio daily mnaisikiliza..heh he unafiki sio mzuri

ngoja nikupe fact ya mwisho, jamii forum kuitwa great thinkers place kwakujiunga tu na kuwa na akaunti haiku-qualify na wewe kuwa great thinker, wengine mmekuwa humu kutuonesha u-poor thinker wenu.

Mazombi wa Ru-gay washanza kutoa povu zao sijui wanalipwa sh. ngapi kumchafua JD sasa nendeni mkawachukue MAMA ZENU, DADA ZENU, SHANGAZI zenu na mabibi zenu kawapeni promo tuone kwenye hiyo wafu fm tuone kama watadumu miaka 13, na mwaka huu mtatumiwa sawa kumchafua anaconda, izo ni tabia za kiliberal kuongea bila facts.
 
[COLOR="#0000CD"]Ninyi wenye akaunti, za mwaka 2013 mna matatizo sana, ndiyo maana watoto form four mnafeli kweli, maana hata ukiulizwa swali unachora zombie.
mawazo yangu yako kwenye mtililiko linganifu nikionesha kile kilichopo, na nifikiriacho baada yakusikia ule wimbo wewe unaleta story za clouds fm, nani kaizungumzia?

anyway ingawa sipo huko ila kuna watu hapa hata ukiwauliza wewe unaiponda clouds imekukosea nini, jibu huna ni ile watu wakiponda nawe upo nyuma kama mkia, ukipewa akili changanya na za kwako, sio unakwenda kwenda tu. afu ajabu hiyo radio daily mnaisikiliza..heh he unafiki sio mzuri

ngoja nikupe fact ya mwisho, jamii forum kuitwa great thinkers place kwakujiunga tu na kuwa na akaunti haiku-qualify na wewe kuwa great thinker, wengine mmekuwa humu kutuonesha u-poor thinker wenu.
[/COLOR]
Kujiunga Jf mwaka huu sio shida kwani ukubwa wa pua sio wingi wa makas we unaweza ukawa great lakini usiwe THINKER, Unajua maana kucopy na kupest
 
sio vibaya kuweka vionjo vya Nyimbo Za Makabila Au Mtaan Kwenye Nyimbo nyimbo kama kinyulinyuli, sandakarawe, kasimama peke yake kamuona , zimeimbwa mtani utotoni lakini sasa tunazisikia kwenye nyimbo za watu afadhali mimi poor thinker kuliko kujifanya GREAT LAKINI SIO THINKER sisi ndo tulimchora zombie eeeeeh bas yule tuliemchora ndo wewe coz unawaza kizombi zombi tu
 
Wale ndugu zangu kutoka musoma na majirani zao bila shaka na watanzania kwa Ujumla mliopata au kuwai kuusikia, huwezi kuutofautisha wimbo wa Lady jay Dee na ule aliokopi.

Joto hasira ni kopi ya wimbo wa Kijita Uitwao "Amba" maarufu sana katika maarusi na hata wapiga matarumbeta wengi zikiwemo Bendi za Polisi uupiga. Juzi tu katika ujio wa Obama nimeusikia wakati wakiingia ikilu pale.

Alichofanya Jide nikugeuza maneno ila si yote, chorus yote ni kopi.

To be spesific, melody ile ya Jide hakufikirisha kichwa hata kidogo, alihamisha.

mke wa ruge weye?
 
hahahahahahahaha
ni kweli njia hii inaweza kutumika kumsafisha kijana wetu benard paul?
 
Wale ndugu zangu kutoka musoma na majirani zao bila shaka na watanzania kwa Ujumla mliopata au kuwai kuusikia, huwezi kuutofautisha wimbo wa Lady jay Dee na ule aliokopi.

Joto hasira ni kopi ya wimbo wa Kijita Uitwao "Amba" maarufu sana katika maarusi na hata wapiga matarumbeta wengi zikiwemo Bendi za Polisi uupiga. Juzi tu katika ujio wa Obama nimeusikia wakati wakiingia ikilu pale.

Alichofanya Jide nikugeuza maneno ila si yote, chorus yote ni kopi.

To be spesific, melody ile ya Jide hakufikirisha kichwa hata kidogo, alihamisha.

Kwani Jidd ndo wa kwanza!?? walikopi akina mr Nice, twanga na wengineo... angalia nyimbo za kibongo uone ni ngapi hawajakopi.. mimi namuona Jide ni mbunifu.. au YOTE SABABU YAAA.... SABABU YAAA... NA RUGE MWENYEWE YELELAAAAA.....!!!!
 
Back
Top Bottom