Dumelang
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 3,204
- 5,710
Wale ndugu zangu kutoka musoma na majirani zao bila shaka na watanzania kwa Ujumla mliopata au kuwai kuusikia, huwezi kuutofautisha wimbo wa Lady jay Dee na ule aliokopi.
Joto hasira ni kopi ya wimbo wa Kijita Uitwao "Amba" maarufu sana katika maarusi na hata wapiga matarumbeta wengi zikiwemo Bendi za Polisi uupiga. Juzi tu katika ujio wa Obama nimeusikia wakati wakiingia ikilu pale.
Alichofanya Jide nikugeuza maneno ila si yote, chorus yote ni kopi.
To be spesific, melody ile ya Jide hakufikirisha kichwa hata kidogo, alihamisha.