sio vibaya kuweka vionjo vya Nyimbo Za Makabila Au Mtaan Kwenye Nyimbo nyimbo kama kinyulinyuli, sandakarawe, kasimama peke yake kamuona , zimeimbwa mtani utotoni lakini sasa tunazisikia kwenye nyimbo za watu afadhali mimi poor thinker kuliko kujifanya GREAT LAKINI SIO THINKER sisi ndo tulimchora zombie eeeeeh bas yule tuliemchora ndo wewe coz unawaza kizombi zombi tu
Vp ndugu hujaridhika na aidia ya Jay Dee? Mm nafairi yupo sawa sana coz sjasikia mtu akilalamika kaibiwa aidia au hiyo nyimbo ww unausika?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ninyi wenye akaunti, za mwaka 2013 mna matatizo sana, ndiyo maana watoto form four mnafeli kweli, maana hata ukiulizwa swali unachora zombie.
mawazo yangu yako kwenye mtililiko linganifu nikionesha kile kilichopo, na nifikiriacho baada yakusikia ule wimbo wewe unaleta story za clouds fm, nani kaizungumzia?
anyway ingawa sipo huko ila kuna watu hapa hata ukiwauliza wewe unaiponda clouds imekukosea nini, jibu huna ni ile watu wakiponda nawe upo nyuma kama mkia, ukipewa akili changanya na za kwako, sio unakwenda kwenda tu. afu ajabu hiyo radio daily mnaisikiliza..heh he unafiki sio mzuri
ngoja nikupe fact ya mwisho, jamii forum kuitwa great thinkers place kwakujiunga tu na kuwa na akaunti haiku-qualify na wewe kuwa great thinker, wengine mmekuwa humu kutuonesha u-poor thinker wenu.
Nani kasema ni wakikurya? mbona unadandia mbele, itamea. kama ni wakinyakyusa ungeleta hoja kama nimefanya umbea, ulichofanya si umbea? Jipange
Ninyi wenye akaunti, za mwaka 2013 mna matatizo sana, ndiyo maana watoto form four mnafeli kweli, maana hata ukiulizwa swali unachora zombie.
mawazo yangu yako kwenye mtililiko linganifu nikionesha kile kilichopo, na nifikiriacho baada yakusikia ule wimbo wewe unaleta story za clouds fm, nani kaizungumzia?
anyway ingawa sipo huko ila kuna watu hapa hata ukiwauliza wewe unaiponda clouds imekukosea nini, jibu huna ni ile watu wakiponda nawe upo nyuma kama mkia, ukipewa akili changanya na za kwako, sio unakwenda kwenda tu. afu ajabu hiyo radio daily mnaisikiliza..heh he unafiki sio mzuri
ngoja nikupe fact ya mwisho, jamii forum kuitwa great thinkers place kwakujiunga tu na kuwa na akaunti haiku-qualify na wewe kuwa great thinker, wengine mmekuwa humu kutuonesha u-poor thinker wenu.
Ok jikelag,, na wimbo wa yalaiti je? Naniii walitunga e?
mkuu kukopi sio tatizo hata kwene marketing strategy wanasema kama umeshindwa kabisa kuja na new idea yani we ni mbumbumbu kabisa unaruhusiwa copy and paste.
Wale ndugu zangu kutoka musoma na majirani zao bila shaka na watanzania kwa Ujumla mliopata au kuwai kuusikia, huwezi kuutofautisha wimbo wa Lady jay Dee na ule aliokopi.
Joto hasira ni kopi ya wimbo wa Kijita Uitwao "Amba" maarufu sana katika maarusi na hata wapiga matarumbeta wengi zikiwemo Bendi za Polisi uupiga. Juzi tu katika ujio wa Obama nimeusikia wakati wakiingia ikilu pale.
Alichofanya Jide nikugeuza maneno ila si yote, chorus yote ni kopi.
To be spesific, melody ile ya Jide hakufikirisha kichwa hata kidogo, alihamisha.
Ni ngumu sana kupigana vita na komando.
Kwani Jidd ndo wa kwanza!?? walikopi akina mr Nice, twanga na wengineo... angalia nyimbo za kibongo uone ni ngapi hawajakopi.. mimi namuona Jide ni mbunifu.. au YOTE SABABU YAAA.... SABABU YAAA... NA RUGE MWENYEWE YELELAAAAA.....!!!!