Wimbo wa Joto Hasiara, Jay Dee alikopi, akabadili Maneno, Akapesti

Wimbo wa Joto Hasiara, Jay Dee alikopi, akabadili Maneno, Akapesti

sio vibaya kuweka vionjo vya Nyimbo Za Makabila Au Mtaan Kwenye Nyimbo nyimbo kama kinyulinyuli, sandakarawe, kasimama peke yake kamuona , zimeimbwa mtani utotoni lakini sasa tunazisikia kwenye nyimbo za watu afadhali mimi poor thinker kuliko kujifanya GREAT LAKINI SIO THINKER sisi ndo tulimchora zombie eeeeeh bas yule tuliemchora ndo wewe coz unawaza kizombi zombi tu

Kwa hiyo unamaanisha huyu jamaa ni zombi?
 
Vp ndugu hujaridhika na aidia ya Jay Dee? Mm nafairi yupo sawa sana coz sjasikia mtu akilalamika kaibiwa aidia au hiyo nyimbo ww unausika?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

mi nampenda sana jide hata kwenye show nilikuwepo ila ni kweli melody ni ya lugha maeneo mengi tu hasa kanda ya ziwa tena wenyewe manaimba hivi
"mayi iluka amba,iluka ulole amba,walembo wejile kulola"
 
Ninyi wenye akaunti, za mwaka 2013 mna matatizo sana, ndiyo maana watoto form four mnafeli kweli, maana hata ukiulizwa swali unachora zombie.
mawazo yangu yako kwenye mtililiko linganifu nikionesha kile kilichopo, na nifikiriacho baada yakusikia ule wimbo wewe unaleta story za clouds fm, nani kaizungumzia?

anyway ingawa sipo huko ila kuna watu hapa hata ukiwauliza wewe unaiponda clouds imekukosea nini, jibu huna ni ile watu wakiponda nawe upo nyuma kama mkia, ukipewa akili changanya na za kwako, sio unakwenda kwenda tu. afu ajabu hiyo radio daily mnaisikiliza..heh he unafiki sio mzuri

ngoja nikupe fact ya mwisho, jamii forum kuitwa great thinkers place kwakujiunga tu na kuwa na akaunti haiku-qualify na wewe kuwa great thinker, wengine mmekuwa humu kutuonesha u-poor thinker wenu.

Ok jikelag,, na wimbo wa yalaiti je? Naniii walitunga e?
 
kwahiyo wewe hapa ni GT!!!!!!!
Eti wenye akaunti za mwaka 2013 tuna matatizo!!!!!!!!!
kama umeishiwa maneno huo mda ungekuwa umelima hata nusu ekari!!!!!
unaweza ukawa umejiunga 2006 na bado ukawa unaongea non sense!!!!!!!!!
 
Si afadhari kakopi nyimbo za makabila ya hapa mimi naona bendi nyingi za Tanzania zinakopi midundo ya kikongo halafu wanasema nyimbo za Tanzania
 
mkuu kukopi sio tatizo hata kwene marketing strategy wanasema kama umeshindwa kabisa kuja na new idea yani we ni mbumbumbu kabisa unaruhusiwa copy and paste.

Music ni process na cyo Strategy tafuta mfano hai huwezi kutafuta solution moja katika biashara mbili tofauti
NOTE:
Clarify business objectives
Sales,awareness,advocacy

Sometime kucopy na kupaste kunaweza kukuharibia kabisa biashara najua ushawai kuona Hilo lakin katika music mifano mingi ipo unapocopy kazi ya mtu ukigundulika status inapungua kuna baadh ya wasanii walishafanya hivyo wamepotea unawajua
 
Sio mbaya katika kumi akapest mmoja!!!!!
kuna wangine katika kumi katunga mmoja tisa zote kapest linah mfano.
 
Wivu unakusumbua tu wewe, kama amekopi kinacho kuuma ni nini?, au wimbo alio copy ni wa bibi yako?. Mtu akifanikiwa tu wanafiki mnaanza majunguu, mwacheni dada wa watu bhana a!
 
Wale ndugu zangu kutoka musoma na majirani zao bila shaka na watanzania kwa Ujumla mliopata au kuwai kuusikia, huwezi kuutofautisha wimbo wa Lady jay Dee na ule aliokopi.

Joto hasira ni kopi ya wimbo wa Kijita Uitwao "Amba" maarufu sana katika maarusi na hata wapiga matarumbeta wengi zikiwemo Bendi za Polisi uupiga. Juzi tu katika ujio wa Obama nimeusikia wakati wakiingia ikilu pale.

Alichofanya Jide nikugeuza maneno ila si yote, chorus yote ni kopi.

To be spesific, melody ile ya Jide hakufikirisha kichwa hata kidogo, alihamisha.

hiyo ndio iliyobaki sasa kama umeona hakufikiria embu na wewe tafuta ugeuze tuone..
 
Kwani Jidd ndo wa kwanza!?? walikopi akina mr Nice, twanga na wengineo... angalia nyimbo za kibongo uone ni ngapi hawajakopi.. mimi namuona Jide ni mbunifu.. au YOTE SABABU YAAA.... SABABU YAAA... NA RUGE MWENYEWE YELELAAAAA.....!!!!

kweli hiyo, hata Anita wa Matonya nao alikopi kwenye nyimbo ambayo ilishakuwepo toka kitambo
 
Wale ndugu zangu kutoka musoma na majirani zao bila shaka na watanzania kwa Ujumla mliopata au kuwai kuusikia, huwezi kuutofautisha wimbo wa Lady jay Dee na ule aliokopi.

Joto hasira ni kopi ya wimbo wa Kijita Uitwao "Amba" maarufu sana katika maarusi na hata wapiga matarumbeta wengi zikiwemo Bendi za Polisi uupiga. Juzi tu katika ujio wa Obama nimeusikia wakati wakiingia ikilu pale.

Alichofanya Jide nikugeuza maneno ila si yote, chorus yote ni kopi.

To be spesific, melody ile ya Jide hakufikirisha kichwa hata kidogo, alihamisha.

MKUU ni kawaida kabisa kwa wasanii kukopi melody na hii system haijaanza leo hata nje watu wamekopi mfano mdogo unakumbuka nyimbo ya I can ya NAS? jamaa alikopi melody ya Beethoven nyimbo ya No love ya Eminem na Lil wayne walikopy kwa What is Love ya Haddaway nyimbo ya kwanza ya wiz khalifa say yeah kakopi kutoka kwa dutch eurodance group twende kwa mkongwe jay z huyo ndio nyimbo zake kibao tuanze kwa forever young- unaikumbuka nyimbo jamaa aliicopy kama sio kwa bob Dylan basi Bon Jovi au alphavile kati ya hao watatu mwenye data aje anisaidie hapa.... ni nyimbo nyingi nyingi nyingi hata hii on the floor ya jenifer lopez so ku copy melody ni kitu cha kawaida sana katika dunia hii wenyewe wanaita ku sample ila yote ni ile ile na mnaosema kuwa eti Chorus hajabadilisha sidhani kuwa hiyo nyimbo yenu ya kinyakyusa Chorus inasema JOTO HASIRA??
 
Wale ndugu zangu kutoka musoma na majirani zao bila shaka na watanzania kwa Ujumla mliopata au kuwai kuusikia, huwezi kuutofautisha wimbo wa Lady jay Dee na ule aliokopi.

Joto hasira ni kopi ya wimbo wa Kijita Uitwao "Amba" maarufu sana katika maarusi na hata wapiga matarumbeta wengi zikiwemo Bendi za Polisi uupiga. Juzi tu katika ujio wa Obama nimeusikia wakati wakiingia ikilu pale.

Alichofanya Jide nikugeuza maneno ila si yote, chorus yote ni kopi.

To be spesific, melody ile ya Jide hakufikirisha kichwa hata kidogo, alihamisha.

R u sure
 
Back
Top Bottom