Kama ni cha kufungwa au kuuliwa kuna hii nyimbo hapa inaitwa sheria by Sarabi band ft Juliani, Hii nyimbo ilikua nominated kwa Global activism Award! AKA Honesty Oscars - Best Activist Anthem
Kwenye hio nyimbo, wanamuonyesha Rais Mstaafu Mwai Kibaki huku nyimbo ikisema "Una mipango na hata watoto wa kando, haujui ata majina yao"
alafu hapo 05:43 kwa hio nyimbo, Wanaonyesha makamu wa Rais William Ruto akilia kanisani alafu kwa nyimbo inasema, "Machozi ya perpetrator inaeza dilute damu ya Victim iliomwagiga?"
Hao Sarabi Band wamekua wakiimba nyimbo za activism tokea kitambo, hii hapa nyengine
Hizo nyimbo ukiskiza vizuri basically zina ambia waananchi kubadilisha mambo wenyewe kwa njia moja au nyengine ... Ingekua ziliimbwa ndani ya nchi nyengine hawa jamaa wangefungwa kwa tuhuma za kujaribu kuchochea wananchi wapindue serekali.