Hebu tuelezee Uhuru wenu wakati Chadema wanazuiliwa kugombea kwenye uchaguzi?Mimi sisemi kuhusu DCI, ninazungumzia kuhusu vitisho anavyopata toka kwa watu na viongozi serikalini, kama ilivyo kwa Alfred Mutua kutishiwa na DP- Rutto, huo ndio Uhuru gani?, mtu akisema kitu maisha yake yanakua hatarini?
Sent using Jamii Forums mobile app
The DCI has strongly refuted the allegations.Umeamua kuungalia upande mmoja ukipuuza mwingine View attachment 1295033DCI Kenya wamesema they never summoned Mr Rabbit!
Kushindana na mtu illiterate unajipa kaziAcha kuoneshaa kama mko salama
Huyo king kaka alikamatwa na wakamburuza
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unatoka nje ya mada?, tunachuzungumzia ni vitisho anavyopata King Kaka baada ya kutuo huo wimbo wake, huo Uhuru wa kujiekeza upo wapi ikiwa watu wanaozungumza ukweli wanatishiwa maisha na wengine kufurushwa nchini kwa nguvu kama Miguna Miguna?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwanga msapere = huwanga mkikuyumi nataka kujua "wangamsapere" maana yake nini?