Wimbo wa kuzimia

Wimbo wa kuzimia

Habari wakuu,
Mimi naomba kuuliza huu wimbo unaotrend sana kwenye social media ambao watu wanaanguka kama wanazimia ni msanii gani kaimba?
Nimejaribu kusikiliza kwa makini sana lakini nashindwa kuelewa/kusikia vizuri maneno kwenye wimbo huo View attachment 930743
Halafu kuna zile zingine huwa naona wanacheza kama wanaumwa nyuki! Kazi sana kizazi hiki!
 
Jamaa mbunifu sanaa keshatrend kwenye media sio hawa wa kwetu wa Ninyegeshe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja kwanza niende gugo
 
Ngoma inapigwa, unajifanya unazimia,halafu unakufa😀😀
 
Back
Top Bottom