Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Halafu kuna zile zingine huwa naona wanacheza kama wanaumwa nyuki! Kazi sana kizazi hiki!Habari wakuu,
Mimi naomba kuuliza huu wimbo unaotrend sana kwenye social media ambao watu wanaanguka kama wanazimia ni msanii gani kaimba?
Nimejaribu kusikiliza kwa makini sana lakini nashindwa kuelewa/kusikia vizuri maneno kwenye wimbo huo View attachment 930743