M.Rutabo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 1,031
- 2,647
Hii nyimbo kwa wanao ifahamu ilikuwa nyimbo ya maana sana. Anasema Bado ni kiza na marashi ya dunia hayasikii anajihisi yupo kuzimu anaishangaa sayali hii, iliyojawa wanasiasa, Vicheche na wasanii. Kuna jumbe nyingi sana na ata mwalimu Nyerere huko aliko lazima yupo anashangaa sana kuhusu hii nchi yake.