Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Chorus Kali sana na melody imetulia ila amezingua kwenye mashairi ya kitoto hajayapangilia,nadhani hakua serious na hii ngoma,
angetuliza kichwa hii ngoma inebamba zaidi ya hapa sababu inaendana na sana na msimu huu wa sikukuu.
Kama anaweza mwanetu angefanya remix na kuweka mashairi kwenye mpangilio mzuri.
Ushauri tu.