Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekataa kufunguka
yaal mwaka 73, ndio alikufa bavon Marie cc@masiyaAlikua mdogo wake Franco yaani mtoto wa swela (mama yake franco)
Mtoto wa franco ni Emongo
Inasemekana sababu ya kifo cha Bavon ni aligundua Franco ana uhusiano na mke wake hivo bavon akachukia na kuendesha gari akiwa na hasira akapata ajali akiwa na huyo mwanamke

Alikua mdogo wake Franco yaani mtoto wa swela (mama yake franco)
Mtoto wa franco ni Emongo
Inasemekana sababu ya kifo cha Bavon ni aligundua Franco ana uhusiano na mke wake hivo bavon akachukia na kuendesha gari akiwa na hasira akapata ajali akiwa na huyo mwanamke
hata mm I think so, ila mtoa post kaeleza kuwa huo wimbo aliouandika hapa wakati Franco akifariki hakuwa ameutoa ulikua studioMuongo na Mulozi ni watu wa kuchoma, nasikia ndiyo wimbo wake wa mwisho.
Hapana mkuu wa mwisho ni les rumeurs. Hata ukizisikiliza utagundua kua saut ya Franco kwenye les Rumeurs imeisha.na pia uli achiwa miaka 3 baada ya kifo chakeMuongo na Mulozi ni watu wa kuchoma, nasikia ndiyo wimbo wake wa mwisho.
Hiyo video ?Umekataa kufunguka
Na ina cha kujifunza pia mkuuhabari nzuri inafarijisha
Ahsante kwa mchango mkuuyaal mwaka 73, ndio alikufa bavon Marie cc@masiya
Yeah. Na aliu record akiwa anaumwahata mm I think so, ila mtoa post kaeleza kuwa huo wimbo aliouandika hapa wakati Franco akifariki hakuwa ameutoa ulikua studio
Mkuu tuletee humu, tunazisubirimkuu lucas mobutu huu wimbo unataka kufanana na ule uitwao "makambo ezali minene" una maudhui sawa na huu ninazo tafsiri za nyimbo za Franco nyingi tu sema sijui namna ya Ku attach hapa
cc Masiya
Niliskia ailuza gitaa la Francohuyo mtoto wa Franco emongo ni rafiki yangu fb huwa nachat nae sana tu kanambia anaendesha ile club ya okk jazz night club Kinshasa pia ufaransa kuna biashara zao fb anatumia jina Yves emongo luambo
ndio wimbo ninaoukubali wa gwiji huyoMuongo na Mulozi ni watu wa kuchoma, nasikia ndiyo wimbo wake wa mwisho.