Wimbo wa mwisho wa Franco

Wimbo wa mwisho wa Franco

Alikua mdogo wake Franco yaani mtoto wa swela (mama yake franco)

Mtoto wa franco ni Emongo

Inasemekana sababu ya kifo cha Bavon ni aligundua Franco ana uhusiano na mke wake hivo bavon akachukia na kuendesha gari akiwa na hasira akapata ajali akiwa na huyo mwanamke
yaal mwaka 73, ndio alikufa bavon Marie cc@masiya
 
mkuu lucas mobutu huu wimbo unataka kufanana na ule uitwao "makambo ezali minene" una maudhui sawa na huu ninazo tafsiri za nyimbo za Franco nyingi tu sema sijui namna ya Ku attach hapa
cc Masiya
 
huyo mtoto wa Franco emongo ni rafiki yangu fb huwa nachat nae sana tu kanambia anaendesha ile club ya okk jazz night club Kinshasa pia ufaransa kuna biashara zao fb anatumia jina Yves emongo luambo
 
Muongo na Mulozi ni watu wa kuchoma, nasikia ndiyo wimbo wake wa mwisho.
Hapana mkuu wa mwisho ni les rumeurs. Hata ukizisikiliza utagundua kua saut ya Franco kwenye les Rumeurs imeisha.na pia uli achiwa miaka 3 baada ya kifo chake
 
huyo mtoto wa Franco emongo ni rafiki yangu fb huwa nachat nae sana tu kanambia anaendesha ile club ya okk jazz night club Kinshasa pia ufaransa kuna biashara zao fb anatumia jina Yves emongo luambo
Niliskia ailuza gitaa la Franco
 
Ngoma ni janga la dunia,wanamuziki wengi wameteketea sana kwa NGWENGWE....BASATA ina kazi sana kuwapa elimu hii hawa wanamuziki wetu maana wanavyobanduana wenyewe kwa wenyewe na kupokezana vijiti inatisha.
 
Back
Top Bottom