Wimbo wa My number one wa Diamond Platnum

Lusam

Senior Member
Joined
Apr 4, 2013
Posts
195
Reaction score
88
Habari wana JF.

Nakaa natafakari tuzo 7 alizopata Diamond, ukweli ni kwamba My Number One imempa Diamond mafanikio sana ameweza pata tuzo hizo kwa sababu ya ya huo wimbo, pia ameweza kuvuka boda na kupata baadhi ya collabo na wasanii wakubwa Afrika kwa sababu ya nyimbo hiyo.

Je Diana anajisikia vipi kuona mafanikio hayo kupitia wimbo ambao anadai ni wimbo wake?, Diana mwenyewe aliwahi kuhojiwa na Saida Mwilima akasema nililia sana sikutoka nje kwa wiki kazaa naomba mniache.

Je Diamond nae anajisikia vizuri kuona dhuluma hiyo aliyofanya?.
 
Daina hana chake hapo na wimbo haukuwa wake,nilivyosikia kuwa beat iliyotumika producer alikuwa ametengeneza kwa ajili ya wimbo wa daina lakini daina hakuipenda hata baada ya kusikilizishwa.

Diamond baada ya kusikilizishwa ile beat akaipenda na producer yule akampigia simu daina kuwa domo anachukua ile beat na daina akakubali.Kimbembe kikaanza baada ya wimbo kutoka na kuumiza vichwa vya watu na daina kutafta kiki akaanza kudai kaibiwa,H.baba naye akadai wimbo wake ila zote zilikuwa ni kiki za kusikika msikioni mwa watu.

Chezea kufulia kimuziki.
 
Eti huyo kidevu ndio nani?sorry huyo Diana ndio nani?
 
Habari wana JF.

Nakaa natafakari tuzo 7 alizopata Diamond, ukweli ni kwamba My Number One imempa Diamond mafanikio sana ameweza pata tuzo hizo kwa sababu ya ya huo wimbo, pia ameweza kuvuka boda na kupata baadhi ya collabo na wasanii wakubwa Afrika kwa sababu ya nyimbo hiyo.

Je Diana anajisikia vipi kuona mafanikio hayo kupitia wimbo ambao anadai ni wimbo wake?, Diana mwenyewe aliwahi kuhojiwa na Saida Mwilima akasema nililia sana sikutoka nje kwa wiki kazaa naomba mniache.

Je Diamond nae anajisikia vizuri kuona dhuluma hiyo aliyofanya?.

Mbona hili suala lipo wazi kabisa na lilithibitishwa na producer wa hiyo beat. Huyo dada hakuipenda hiyo beat, na Diamond alipoitaka huyo dada alipewa taarifa na akaridhia beat ichukuliwe. Haikuwa wimbo bali ni beat tu. Huyo dada hayo ni maneno ya mkosaji.
 
Bora kauimba diamond, wengine hata wakipewa waigize hawataweza, huyu dogo anajua kuimba na kubuni c kama H.bb anayekatikakatika ovyo kwenye stage bila mpangilio. Dogo keep it up.
 
roho mbaya tu baada ya kuona alichokikataa kimepata mafanikio ndo kaaza kuleta maneno hayo.
Yawezekana hata hiyo nyimbo yake isingependwa wala kujulika kabisa
 
Bora kauimba diamond, wengine hata wakipewa waigize hawataweza, huyu dogo anajua kuimba na kubuni c kama H.bb anayekatikakatika ovyo kwenye stage bila mpangilio. Dogo keep it up.

Hahahaa haaaa
 
Davido ndio mwanamuziki mkubwa Africa????? Kina salif keita, femi kuti, youssour tuwaitaje?? Acha upuuzi wewe
 
Labda amuombe dai hiyo beat aimbe tusikie kama utakua na uzito kama ya dai
 
Davido ndio mwanamuziki mkubwa Africa????? Kina salif keita, femi kuti, youssour tuwaitaje?? Acha upuuzi wewe

kwa sasa Davido ni msanii mkubwa Africa....kila pembe ya bara hili kwa sasa utasikia nyimbo zake zikichezwa sana...ata kama haupendi iyo
 
Back
Top Bottom