Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Jamani niseme ukweli siku ile ndege ya airbus ilivyotua jkna huku serikali nzima ikikata viuno eti kuimbia ndege lilikuwa ni jambo la fedheha na aibu kubwa mno kwa taifa
eti wanaimba ndege yetuuuu ile paleeee ndege yetuuu tunaiona ile paleeeee ndeeegeee yetuuuu ile pale jamani naangalia Hii video mpk naona aibu kuitazama baada ya hapo viongozi wakaingia ndani eti kuishangaa ndege uwiiiiiiiiiiiiiiiii awamu ina vituko hii yani serikali nzima inacheza ngoma kisa ndege hakika tumerudi nyuma mnooooo hivi na Nyerere aliyeacha 14 boengs nayeye aliyafanya haya?
natafakari kwa aibu!!!