Tetesi: Wimbo wa ndege yetu ile pale ilikuwa fedheha na aibu kwa taifa

Mkuu kwanini unajipa stress? Live and let live
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mimi sijausikia huo wimbo kwanza sikifatilia [emoji23][emoji23]hebu uwek hapa wengn usingz umekata [emoji23]
BAVICHAA KATIKA UBORA WAO, HATA VISIVYO NA MANTIKI KWA JAMII YETU WATAVILAZIMISHA TU VIONEKANE VINA UMUHIMU.

MAGUFULI KAZA TU HADI 2045, SO WAENDELEE TU KUWA WAPOLE NA NJAA ZAO HUKO UFIPANI.
 
Jamani niseme ukweli siku ile ndege ya airbus ilivyotua jkna huku serikali nzima ikikata viuno eti kuimbia ndege lilikuwa ni jambo la fedheha na aibu kubwa mno kwa taifa

eti wanaimba ndege yetuuuu ile paleeee ndege yetuuu tunaiona ile paleeeee ndeeegeee yetuuuu ile pale jamani naangalia Hii video mpk naona aibu kuitazama baada ya hapo viongozi wakaingia ndani eti kuishangaa ndege uwiiiiiiiiiiiiiiiii awamu ina vituko hii yani serikali nzima inacheza ngoma kisa ndege hakika tumerudi nyuma mnooooo hivi na Nyerere aliyeacha 14 boengs nayeye aliyafanya haya?

natafakari kwa aibu!!!
body language ya baadhi ya viongozi ilikuwa inaonyesha wanakereka na kufedheheka mno hadi aibu nikaanza kujisikia mimi!
 
Sababu wewe ndiwe black nigger person wa kwaza kabisa kuwa na aibu kuliko Wanaume wengine sote duniani.
body language ya baadhi ya viongozi ilikuwa inaonyesha wanakereka na kufedheheka mno hadi aibu nikaanza kujisikia mimi!
 
Mmekosa vya kukosoa!!!

Mtaanza kukosoa hata wanavyotembea viongozi wetu
 
Jamani niseme ukweli siku ile ndege ya airbus ilivyotua jkna huku serikali nzima ikikata viuno eti kuimbia ndege lilikuwa ni jambo la fedheha na aibu kubwa mno kwa taifa

eti wanaimba ndege yetuuuu ile paleeee ndege yetuuu tunaiona ile paleeeee ndeeegeee yetuuuu ile pale jamani naangalia Hii video mpk naona aibu kuitazama baada ya hapo viongozi wakaingia ndani eti kuishangaa ndege uwiiiiiiiiiiiiiiiii awamu ina vituko hii yani serikali nzima inacheza ngoma kisa ndege hakika tumerudi nyuma mnooooo hivi na Nyerere aliyeacha 14 boengs nayeye aliyafanya haya?

natafakari kwa aibu!!!
Mkuu naungana na wewe kidogo kuhusu wimbo, mimi sipingi nyimbo kwenye shughuli za kitaifa kama zile maana zinaongeza uzalendo ila niseme tu ukweli ule wimbo ni mbaya na unaboa kuusikiliza yaani sijui aliumba nani. Yaani kifupi ulikosa hamasa tangu capt Komba hafariki amekosekana mtu wakutunga nyimbo zenye hamasa na msisimko.

Ni bora wawe wanacheza wimbo wa Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote yaani huu wimbo ukipigwa mpaka nywele zinasisimka au wawatafute wasanii kama Diamond atunge nyimbo ya kizalendo yenye msisimko kama ile ya tangazo la Coca "sikamatiki" kuliko kutewekea wimbo kama ule wa juzi waliniharibia kabisa furaha yangu yakupokea ndege.
 
Jamani niseme ukweli siku ile ndege ya airbus ilivyotua jkna huku serikali nzima ikikata viuno eti kuimbia ndege lilikuwa ni jambo la fedheha na aibu kubwa mno kwa taifa

eti wanaimba ndege yetuuuu ile paleeee ndege yetuuu tunaiona ile paleeeee ndeeegeee yetuuuu ile pale jamani naangalia Hii video mpk naona aibu kuitazama baada ya hapo viongozi wakaingia ndani eti kuishangaa ndege uwiiiiiiiiiiiiiiiii awamu ina vituko hii yani serikali nzima inacheza ngoma kisa ndege hakika tumerudi nyuma mnooooo hivi na Nyerere aliyeacha 14 boengs nayeye aliyafanya haya?

natafakari kwa aibu!!!
Wa paleee magomeni
 
Back
Top Bottom