FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Tumeshasema, mabeberu mtajamba damu safari hii, tupo vizuri, tunasonga mbele, na hiyo inayokuja tutakata tena viuno kama kawaida...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui umeiona logic kwenye bandiko hilo? Hebu rudia kusoma ndio ucomment na punguza mkurupuko! Au siku hizi chakubanga anahesabu idadi ya comment ndio akulipe? Mlipotezwa kwa kuimba nyimbo za chekechea!Acha watu wafurahi, wewe ulitaka walie na kuomboleza?
PAMBANA NA HALI YAKO kijana.
Kama ni kweli(mi sijafuatilia) basi Mungu akiibaruki nchi hii kuwa kama Misri serikali nzima watakuwa kama wazee wa ngwasuma,maana kupokea midege 200 kwa staili ya kukata mauno na kughani,si mchezo.Mwisho chako ni chako,usikionee haya Acha wacheze mradi hawavunji sheria wala kuumiza mtu kwa kitendo hichoJamani niseme ukweli siku ile ndege ya airbus ilivyotua jkna huku serikali nzima ikikata viuno eti kuimbia ndege lilikuwa ni jambo la fedheha na aibu kubwa mno kwa taifa
eti wanaimba ndege yetuuuu ile paleeee ndege yetuuu tunaiona ile paleeeee ndeeegeee yetuuuu ile pale jamani naangalia Hii video mpk naona aibu kuitazama baada ya hapo viongozi wakaingia ndani eti kuishangaa ndege uwiiiiiiiiiiiiiiiii awamu ina vituko hii yani serikali nzima inacheza ngoma kisa ndege hakika tumerudi nyuma mnooooo hivi na Nyerere aliyeacha 14 boengs nayeye aliyafanya haya?
natafakari kwa aibu!!!
Hakuna aibu, acha watu wafanye wanavyotaka.Jibu hoja " kwamba ni Aibu au sio Aibu ... ?
uwiii jamani kumbe hadi mkuu wa majeshi alichezeshwa singeli mchana kweupe??Aibu tumeona cc aisee eti spika makam wa rais waziri mkuu jaji mkuu mkuu WA majeshi mkuu WA usalama yani doh