Tetesi: Wimbo wa ndege yetu ile pale ilikuwa fedheha na aibu kwa taifa

Tumeshasema, mabeberu mtajamba damu safari hii, tupo vizuri, tunasonga mbele, na hiyo inayokuja tutakata tena viuno kama kawaida...
 
Acha watu wafurahi, wewe ulitaka walie na kuomboleza?
PAMBANA NA HALI YAKO kijana.
Sijui umeiona logic kwenye bandiko hilo? Hebu rudia kusoma ndio ucomment na punguza mkurupuko! Au siku hizi chakubanga anahesabu idadi ya comment ndio akulipe? Mlipotezwa kwa kuimba nyimbo za chekechea!
 
Kama ni kweli(mi sijafuatilia) basi Mungu akiibaruki nchi hii kuwa kama Misri serikali nzima watakuwa kama wazee wa ngwasuma,maana kupokea midege 200 kwa staili ya kukata mauno na kughani,si mchezo.Mwisho chako ni chako,usikionee haya Acha wacheze mradi hawavunji sheria wala kuumiza mtu kwa kitendo hicho
 
Tatizo LA watanzania ni kulazimisha watu wafikiri kama wewe, aliyecheza hajalalamika we we walilia nini?
 
Jibu hoja " kwamba ni Aibu au sio Aibu ... ?
Hakuna aibu, acha watu wafanye wanavyotaka.
Yaani mimi nasherehekea kununua gari halafu mpumbavu mmoja anasema ni aibu kisa nimeimba na kucheza?
Msitake watu wafanye kama mnavyotaka, aibu peleka kwako na kwa mkeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…