Kama hujui muziki ni bora ukae kimya. Sampling ni kitu cha kawaida sana kwenye muziki labda kama hao mabwana waliosample hawajatoa credits kwa mtunzi.
Mf. MBDTF album bora kabisa ya kanye West nyimbo zote ni sample na ilishinda Grammy's kadhaa, beats nyingi za kanye ni sample. Na sio kanye tu producers wengi wana sample kifupi kusample ni kawaida ila inabidi utoe credit kwa mtunzi.
Sisikii kama nusu nusu ikifanana na sexual healing Jaribu kusikia the fix ya Nelly au blurred lines hizo ndio sample za sexual healing
mkuu kwenye kumbukumbu zangu sijasikia producer alie credit source ya aliko sample japo wana sample sana tu!
sana wanataka wapigiwe makofi tu kwa kazi ambazo kimsingi sio zao...fools!