Wimbo wa nusu nusu mdundo wake ni SAMPLING

mkuu kwenye kumbukumbu zangu sijasikia producer alie credit source ya aliko sample japo wana sample sana tu!
sana wanataka wapigiwe makofi tu kwa kazi ambazo kimsingi sio zao...fools!
 
mkuu kwenye kumbukumbu zangu sijasikia producer alie credit source ya aliko sample japo wana sample sana tu!
sana wanataka wapigiwe makofi tu kwa kazi ambazo kimsingi sio zao...fools!

Kwa bongo sijawahi sikia producer aki-acknowledge kufanya sampling hadi wabanwe, nakumbuka Amen ya FA feat dully Sykes na AY ile hata siiti sampling naita copy and paste maana kuna wimbo wa Jamaica una beat vile vile mwanzo mwisho

Kwa mbele it's a different story toa credits au pigwa fine kama blurred lines ya Robin Thicke kwa kusample sexual healing bila kumtaja Marvin Gaye.
 
Huko koooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooote umekosea...........ndugu sikiliza ngoma ya fabolous inaitwa fabolous life yuko na ryan rislie,joh kakopi mpaka kughani yaan beat mule mule ghani mule mule
 
kusample kupo ktk game ya hiphop hv uxhawah kufatilia mix tape za waxanii wakubwa dunian? wanasample pia beats na inakubalika
 
Wasio ujua muziki utawaona tu sasa aliyekwambia kusample dhambi nani? Hata maproducer miamba ya duia wanafanya hivyo na ni moja ya ubunifu.
 
Wasio ujua muziki utawaona tu sasa aliyekwambia kusample dhambi nani? Hata maproducer miamba ya duia wanafanya hivyo na ni moja ya ubunifu.
 
Nimegundua watanzania wengi sana hatujui muktadha mzima wa sanaa, maana watu wanalalamika tuu hata hajui wasemacho
 
Mkuu kwenye Blurred Lines Robin Thike na Pharrell walisample wimbo wa Got to give it up wa Marvin Gaye na sio Sexual Healing.
 
Mkuu kwenye Blurred Lines Robin Thike na Pharrell walisample wimbo wa Got to give it up wa Marvin Gaye na sio Sexual Healing.

My bad. Ila nadhani kapata maana ya sampling
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…