Wimbo wa Papii Kocha umenitoa machozi

Wimbo wa Papii Kocha umenitoa machozi

Mnafki.......wabakaji tu
Eti machoz yanakutoka Mbn alipovuta ndg Yko hukulia

Ova
 
Huu mwimbo ni kiboko yao..utapigwa adi mwisho wa dunia..kama mimbo kama tutakukumbuka ya crazy gk na tid...
 
Umenikumbusha dogo Mmoja enzi zile movie za kinogeria ndo habari ya dunia dogo aliangalia movie akalia
 
Huyo mtu hajawahi kufutiwa tuhuma za ubakaji na ulawiti na mahakama yoyote ni vipi nikimuita hivyo mnafuta comment yangu! Haya futeni na hii.
Dogo usihukumu, sio wanaokwenda jela wote wana hatia, you never know
 
Back
Top Bottom