Wimbo wa SALOME wa Diamond Platnumz ni uasherati mtupu

Hahaha mwacheni Diamond wawatu ths guy anajua maana ya sanaa! Wew ukitafsir hivyo wewe ndio unatukana! Hiyo ndio maana halisi ya Tafsida
 
Huo wimbo kwa mtu anaejua hatua za kugegeda hakuna fumbo gumu, ila sasa hapo kwenye mtoto jojo sio roboti nilikuwa nimesahau kama jamaa kaisha tomasa na kujua ulaini daaah[emoji134] [emoji134] [emoji2] [emoji2]
 
Hiyo post ndo maana halisi ya huo wimbo, hapo suala la kukubali ni moja, maneno yaliyotumika ni tafsida, yanamfunga asiyeelewa..
 
Kuna tofauti ya kati ya picha ya pornography na picha amabyo ni mchoro wa mtu yupo uchi ikiwa kama sanaa. Unachojaribu kufananisha hakina tofauti na huo mfanoo
 
Hii inasababisha niamini hizi nyimbo wanatungiwa,kazi yao ni kuimba tu,,
 
Nilipoiskia tu nikasema laaaulaaa!nilikaa na mwanangu kijana wa makamo nikanyanyuka..twende mbele turudi nyuma dai tunamuelewa lakn hii nyimbo mtihan mtupu.
 
Nilipoiskia tu nikasema laaaulaaa!nilikaa na mwanangu kijana wa makamo nikanyanyuka..twende mbele turudi nyuma dai tunamuelewa lakn hii nyimbo mtihan mtupu.
Kwa post yako hii naamini huwa unaisikiliza hii nyimbo peke yako na kujiimbia mbali na watoto teh teh...
 
Nami nimeupenda wimbo uko sawa tu maana kile kilichoimbwa ni cha kawaida katika fasihi sada kazi ya kutafrisi ni mtu binafsi.Leo wimbo umepingwa nipo na mama na ikawa sawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…