azizimwema
Member
- Sep 20, 2016
- 5
- 2
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatariMi aliposema akainama chini akimwona jongoo Mimi nilijua Salome ni uoga tu hadi jongoo anaogopa?? Kumbe matusi Dooh
Umeniwahi kidogo tu nilikuwa naimalizia niipostView attachment 405140View attachment 405144imetokea kwenye page ya mondi ya insta kumuweka wema akiimba nyimbo uwiiii sijui zari anajisikiaje, sasa we uje uniambie sijui tujadili tanzania ya viwanda uende siasani apa ni umbea na watu maarufu tu
Poyee ungepost tu nimeingia nimekuta Titty ameshailushaUmeniwahi kidogo tu nilikuwa naimalizia niipost
Hata akisema kutekenya na kunyonga aiseeeHuu wimbo ukisikiliza na mzazi lazima uone aibu
Ningeipa title hiyo balaaaPoyee ungepost tu nimeingia niekuta Tity ameshailusha