Wimbo wa Seduce Me wa Ally Kiba ni "Copy & Paste"??

Wimbo wa Seduce Me wa Ally Kiba ni "Copy & Paste"??

Jamani mie wimbo nimetumiwa tu Whatsapp na alienitumia nae katumiwa,
Sijui hata kaimba nani wala sijui kautoa lini,
Ndio maana hata Kwenye Title/heading nimefanya kuuliza, sijasema moja kwa moja kua kakopi.
Nimeuleta hapa nikijua pengine kuna wajuzi zaidi yangu wanaujua huu wimbo
Bas nyamaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiba huo wimbo ni copy and paste! Nimejaribu kuangalia kwa Shazam sijapata jibu Lkn inaonyesha ni wimbo kutoka South America
 
hata video kacopy vipengele vingi
hata video ya kokoro ya diamond na mavoko walicopy
 
Wadau Kwema??

Kwa sasa Ally Kiba anatingisha na wimbo wake alioutoa hivi karibuni wa Seduce Me. Wimbo huo kwa sasa ni 'heat Song" kiasi kwamba popote unapopigwa basi watu wengi huonekana kuufurahia na kuusifia.

Sasa basi leo katika pitapita zangu huku na kule nikakutana na wimbo unaofanana na uo kuanzia "beats" mpaka "melody" yake, tofauti inakuja kwenye lugha ya Kienfereza iliyotumika pamoja na maana ya maneno yaliyotiumika labda.

Sijaelewa hasa kaimba nani huo wimbo, wala kati ya huyo muimbaji na Ally Kiba ni nani hasa alianza kuimba. Pengine mkiusikiliza wimbo huo mnaweza kuuelewa umeimbwa na nani na kuanzia hapo tutajua nani alianza kuuimba.

Bongo ni zaidi ya unavyoijua
 
Back
Top Bottom