Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] bestii kesho wapi ?!!Haya sasa yaan hamkubali kushindwa kabisa jaman ebu mwacheni tu kiba wa watu jeshi la mtu mmoja
Kesho nipo tuuu jamaan
Umezoea kuombea marehemu wewe ukiwaombea aman ilihali ulishindwa kujiombea mwenyewe
Akiweka unitagg kiongozWimbo kaimba nani? Hii ni cover ya wimbo wa kiba boss. Unaweka wimbo bila hata jina la muimbaji? Weka hata link ya YouTube basi! !
Sent using Jamii Forums mobile app
Bas nyamazaJamani mie wimbo nimetumiwa tu Whatsapp na alienitumia nae katumiwa,
Sijui hata kaimba nani wala sijui kautoa lini,
Ndio maana hata Kwenye Title/heading nimefanya kuuliza, sijasema moja kwa moja kua kakopi.
Nimeuleta hapa nikijua pengine kuna wajuzi zaidi yangu wanaujua huu wimbo
Jaman [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Huo wimbo ni kutoka dubai au omanKiba huo wimbo ni copy and paste! Nimejaribu kuangalia kwa Shazam sijapata jibu Lkn inaonyesha ni wimbo kutoka South America
Wadau Kwema??
Kwa sasa Ally Kiba anatingisha na wimbo wake alioutoa hivi karibuni wa Seduce Me. Wimbo huo kwa sasa ni 'heat Song" kiasi kwamba popote unapopigwa basi watu wengi huonekana kuufurahia na kuusifia.
Sasa basi leo katika pitapita zangu huku na kule nikakutana na wimbo unaofanana na uo kuanzia "beats" mpaka "melody" yake, tofauti inakuja kwenye lugha ya Kienfereza iliyotumika pamoja na maana ya maneno yaliyotiumika labda.
Sijaelewa hasa kaimba nani huo wimbo, wala kati ya huyo muimbaji na Ally Kiba ni nani hasa alianza kuimba. Pengine mkiusikiliza wimbo huo mnaweza kuuelewa umeimbwa na nani na kuanzia hapo tutajua nani alianza kuuimba.
Ulimaanisha Enrique Iglesias??