me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
Atakuwa harmonize[emoji23] [emoji23] [emoji23]Anaimba kiingereza anapronounce kimakonde!!!
Kuimba kwenyewe hajui
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa harmonize[emoji23] [emoji23] [emoji23]Anaimba kiingereza anapronounce kimakonde!!!
Kuimba kwenyewe hajui
Wabongo bana,Wimbo huu ndo amekopi na kupesti wa Ali Kiba. Kawakamate wajinga!
Ebu tuanzie hapa, kama wewe umeupata nasi titajie aliyeuimba nasi tuufuate ktk youtube au mtandaoni!
Nimekuelewa, tuwekee link basi twende huko wenyewe!Wabongo bana,
Kweli ukitaka kuwaficha kitu kiweke kwenye maandishi.
Hiyo comment uliyoi-quote kwenye para ya mwisho nimemalizia hivi
"Sijaelewa hasa kaimba nani huo wimbo, wala kati ya huyo muimbaji na Ally Kiba ni nani hasa alianza kuimba. Pengine mkiusikiliza wimbo huo mnaweza kuuelewa umeimbwa na nani na kuanzia hapo tutajua nani alianza kuuimba."
Natumai kwa ku-quote kwako kote hukuona hiki kipengele. Rudia tena kusoma kisha uje u-comment
Mie nimefowadiwa tu kwenye Whatsapp mkuu wangu,Nimekuelewa, tuwekee link basi twende huko wenyewe!
Kama kweli amecopy na kupaste atakua amenisikitisha sanaa.Kiba huwa hakosei mkuu, utatukanwa bure
Yule hapendi kujibu vitu hovyoMimi ni Ni shabiki wa diamond lakini kwa ujinga huu wa kuleta link isiyo tupeleka kwenye wimbo/account ya aliye imba wimbo huo unao sema ali kakopi ni kujishushia hadhi.
ILA JAMBO MOJA LINANISHANGAZA KWANINI KIBA ASIKANUSHE HABARI HIZI YEYE MWENYEWE?
Wadau Kwema??
Kwa sasa Ally Kiba anatingisha na wimbo wake alioutoa hivi karibuni wa Seduce Me. Wimbo huo kwa sasa ni 'hit Song" kiasi kwamba popote unapopigwa basi watu wengi huonekana kuufurahia na kuusifia.
Sasa basi leo katika pitapita zangu huku na kule nikakutana na wimbo unaofanana na huo kuanzia "beats" mpaka "melody" yake, tofauti inakuja kwenye lugha ya Kiengereza iliyotumika pamoja na maana ya maneno yaliyotiumika labda.
Sijaelewa hasa kaimba nani huo wimbo, wala kati ya huyo muimbaji na Ally Kiba ni nani hasa alianza kuimba. Pengine mkiusikiliza wimbo huo mnaweza kuuelewa umeimbwa na nani na kuanzia hapo tutajua nani alianza kuuimba.