samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
..................Hakuna kitu kama hiko mkuu,kama wewe ni mwanaume wewe ni mwanaume tu hawana la ziada zaidi sana wataji-mwambafy mbele ya wanaume zao mwisho wa siku watazalishwa watatupwa na kujikuta single mama wa wakuwaowa hakuna.
Huu ujinga wa “tunaweza tunaweza” umewafanya wengi wana maisha magumu ajabu,yupo mwendawazimu mmoja akijiita somebody Kiria aliwapoteza sana namfahamu dada mmoja alikuwa shabiki wake akaanza kumletea mumewe ujinga aliokuwa akiusikia kwa yule mal@¥@ sasa hivi ni aibu maana anatembeza mboga mboga kwenye basin kichwani ndoa ilivunjika.anajuta!!!
Uanaume wako una thamani usibabaishwe na hivi viumbe,tupo duniani tuheshimiane ikitokea amekuletea ujinga achana naye wapo wanaoitafuta hiyo nafasi utawapata.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Jamaa mtata sana wewe..