Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Ahaaa, kwa hiyo walichukua tune ya wimbo wa Mafkizolo ila wakakosea kuimba?hebu na wewe jaribu kuchukua Tune ya wimbo wowote famous kisha imba tuone kama utatoka mzuri
Halafu Mkuu mie sio mwimbaji. Kumbuka kujua mtu kakosea kupiga ugali sio lazima wewe ujue kupika ugali. Inaweza tu kuwa unapenda kula ugali siku zote.