S Synthesizer Platinum Member Joined Feb 15, 2010 Posts 12,699 Reaction score 22,598 Mar 10, 2020 #41 Martin Kemosabe said: hebu na wewe jaribu kuchukua Tune ya wimbo wowote famous kisha imba tuone kama utatoka mzuri Click to expand... Ahaaa, kwa hiyo walichukua tune ya wimbo wa Mafkizolo ila wakakosea kuimba? Halafu Mkuu mie sio mwimbaji. Kumbuka kujua mtu kakosea kupiga ugali sio lazima wewe ujue kupika ugali. Inaweza tu kuwa unapenda kula ugali siku zote.
Martin Kemosabe said: hebu na wewe jaribu kuchukua Tune ya wimbo wowote famous kisha imba tuone kama utatoka mzuri Click to expand... Ahaaa, kwa hiyo walichukua tune ya wimbo wa Mafkizolo ila wakakosea kuimba? Halafu Mkuu mie sio mwimbaji. Kumbuka kujua mtu kakosea kupiga ugali sio lazima wewe ujue kupika ugali. Inaweza tu kuwa unapenda kula ugali siku zote.
Martin Kemosabe Senior Member Joined Jan 28, 2020 Posts 168 Reaction score 78 Mar 10, 2020 Thread starter #42 Synthesizer said: Ahaaa, kwa hiyo walichukua tune ya wimbo wa Mafkizolo ila wakakosea kuimba? Halafu Mkuu mie sio mwimbaji. Kumbuka kujua mtu kakosea kupiga ugali sio lazima wewe ujue kupika ugali. Inaweza tu kuwa unapenda kula ugali siku zote. Click to expand... hawajakosea kuimba wameimba vizuri sana
Synthesizer said: Ahaaa, kwa hiyo walichukua tune ya wimbo wa Mafkizolo ila wakakosea kuimba? Halafu Mkuu mie sio mwimbaji. Kumbuka kujua mtu kakosea kupiga ugali sio lazima wewe ujue kupika ugali. Inaweza tu kuwa unapenda kula ugali siku zote. Click to expand... hawajakosea kuimba wameimba vizuri sana
S Synthesizer Platinum Member Joined Feb 15, 2010 Posts 12,699 Reaction score 22,598 Mar 10, 2020 #43 Martin Kemosabe said: hawajakosea kuimba wameimba vizuri sana Click to expand... Kweli kabisa, hapo sikatai.
Martin Kemosabe said: hawajakosea kuimba wameimba vizuri sana Click to expand... Kweli kabisa, hapo sikatai.