Mkuu kufanyia remix wimbo unaoupenda haijawahi kuwa kosa sana sana unaomba ruhusa ya anaeumiliki.Sasa Kama Chadema wameufanyia remix na mmiki wake amekasirika basi aende mahakamaniNyumbu at their best.
Yaani wanatetea hata upuuzi. Tungeni nyimbo yenu ya kukitukuza chama chenu sio ku edit our National anthem.
Barakoa inafanana na titi 1 hivi lililokatwa.Common sense ndogo imewashinda very shame
Hii ina hatifungatiVipi kuhusu " Ni Yeye" naskia nayo ina hati miliki.
Hivi mtu na akili zako hukusoma jinsi ya kuheshimu wimbo wa taifa acheni kukengeuka ni nchi gani watu huuchezea wimbo wa taifa ka hao chadema, kubalini mumekengeuka.Mkuu kuheshimu ni kufanya nini? Kufanya remix ya wimbo wa mtu ni kuudharau wimbo wake au kuupenda? Ninyi watu mbona ujinga wenu umezidi kiwango? Au kwa kuwa imesema serikali ndo mnajitoa ufahamu Kama mlivyofanya kwenye corona?
Una maanisha Nini?Barakoa inafanana na titi 1 hivi lililokatwa.
Choo oyee,Jogoo oyee.Una maanisha Nini?
I'm confusedChoo oyee,Jogoo oyee.
Na bado utachefuka sana mwaka huu,mpaka mjifunze kuweka na taratibu kwa kila jamboSawa hatuna umiriki nao,
Lakini tutumie busara Basi,huu wimbo unaheshima yake hapa bongo,unaimbwa bungeni,Ikulu,mashureni hata kwenye matamasha ya kimataifa,huu wimbo ni Kama Sala kwetu,
Tukienda kushiriki kombe la dunia,huu wimbo unapigwa,sasa Chadema msijifanye mna akili sana,kuriko watz wote,hata Kama hakuna Sheria inayoulinda,msiuchezee,mfano mkichukua madaraka mnaweza kuongeza ubeti wa kichaga,kinyiramba,kisukuma,kimakuwa kwenye huu wimbo?
Acheni Kiki za kitoto,yaani mmenichefua sana,
Kwa akili yako ni sahihi kuudharau utakavyo simply because hatuna hati miliki? Sijui kwenye vichwa vyenu kuna ubongo kweli?Wimbo wetu wa Taifa umetokana na wimbo Nkosi Sikeleli Afrika uliotungwa 1897 na Enoch Sontonga (msauzi) kama wimbo wa ANC
Umetoholewa kuwa wimbo wa Taifa wa Zambia, Zimbabwe, Namibia na Tanzania
Sisi wenyewe tumebadili maneno ya wimbo na copyright si yetu 😁
View attachment 1528084View attachment 1528085View attachment 1528086View attachment 1528088View attachment 1528090
Sasa hapo ndipo umeanza kuelewa vzr boss.I'm confused
Hivi mtu na akili zako hukusoma jinsi ya kuheshimu wimbo wa taifa acheni kukengeuka ni nchi gani watu huuchezea wimbo wa taifa ka hao chadema, kubalini mumekengeuka.
Sio kusema tu serikali mtu timamu anachezeaje wimbo wa taifa, very shame
Wimbo ni watz wote siyo wa Chadema pekee wakati mwingine tumieni akili kidogo basi... utoto umezidi.Mkuu kuheshimu ni kufanya nini? Kufanya remix ya wimbo wa mtu ni kuudharau wimbo wake au kuupenda? Ninyi watu mbona ujinga wenu umezidi kiwango? Au kwa kuwa imesema serikali ndo mnajitoa ufahamu Kama mlivyofanya kwenye corona?
Choo oyeee!Kwa akili yako ni sahihi kuudharau utakavyo simply because hatuna hati miliki? Sijui kwenye vichwa vyenu kuna ubongo kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hapo ndipo umeanza kuelewa vzr boss.
Unaona sasa!! Tunaomba October ifike mapema tumalizane na utoto huu. Ili tujue moja kama kuna watoto wa kuwapiga mboko tufanye hivyo!!Choo oyeee!
Kwa mihemko hii watapatia wapi huo uongozi, ccm tu wakipiga propaganda ya hii ujinga waliofanya ccm Ina win asubuhi. Waache Mambo ya ajabuHawa jamaa hawatumii akili. Na uhakika Lissu akiingia madarakan cha kwanza atabadili wimbo wa taifa pamoja na bendera ya Taifa na wafuasi wake watachekelea na kushangilia
Sawa hatuna umiriki nao,
Lakini tutumie busara Basi,huu wimbo unaheshima yake hapa bongo,unaimbwa bungeni,Ikulu,mashureni hata kwenye matamasha ya kimataifa,huu wimbo ni Kama Sala kwetu,
Tukienda kushiriki kombe la dunia,huu wimbo unapigwa,sasa Chadema msijifanye mna akili sana,kuriko watz wote,hata Kama hakuna Sheria inayoulinda,msiuchezee,mfano mkichukua madaraka mnaweza kuongeza ubeti wa kichaga,kinyiramba,kisukuma,kimakuwa kwenye huu wimbo?
Acheni Kiki za kitoto,yaani mmenichefua sana,
Kumbe ulikuwa hujui?? Uwe unasoma vitu vya maana acha kusoma udaku tuuu!!Suala hili angalau limetusaidia kujua asili ya wimbo wa taifa!